Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,863
35,872
Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao:

img-20240301-wa00875287063232250173040.jpg

“Mkitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema Lwaitama.

Tupambanao dhidi ya CCM, letu ni moja. Tunapaswa kuwa wamoja.

"Zimwi likujualo hali kuli likakwisha."

Prof. Lwaitama, muumini wa mfano wa dhana ya jamili ya kutokuwa na maadui au marafiki wa kudumu katika siasa.
 
Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao:

View attachment 2926733

“Mukitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema Lwaitama.

Tupambanao dhidi ya CCM, letu ni moja. Tunapaswa kuwa wamoja.

"Zimwi likujualo hali kuli likakwisha."

Prof. Lwaitama, muumini wa mfano wa dhana ya jamili ya kutokuwa na maadui au marafiki wa kudumu katika siasa.
Muungano wa vyama hautawezekana hadi pale wananchi watakapshtuka kuwa mdudue cdm si chama cha siasa bali ni kampuni binafsi inayotumia mgongo wa ccm kwa ajili ya faida ya wanahisa ambao ni mzee Mbowe na Baba mkwe wake.
 
Mwamba tuvushe ndiyo kikwazo cha kuungana miezi chache iliyopita aliwaambiaje Sauti ya Watanzania alipookuwa Zanzibar, kumwamini huyu mtu ni kupoteza muda

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Sio siri anaharibu future za vijana wengi sana kwenye hii nchi eti anawaita makamnda 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Ukabila na undugunization upo CCM.
Hebu elezea ukabila wa CDM au Mbowe
Leta safu ya ungozi wa chadema ndio utajua ukabila wa huyu mwamba ni wa kiwango cha kutisha,amejaribu saana kumpaisha yule mvuta bangi wa Arusha sio kwamba ana uwezo bali ni kwa kuwa ni binamu yake.
 
Back
Top Bottom