Sera mbovu za uwekezaji na viwanda nchini hili huchangia mtu kusaka vibali kwa gharama kubwa akipata anajitajirisha mwenyewe na fedha nyingi wanazochuma kwetu wanazipeleka kwao kwetu maslahi yanabaki duni
Ni bora sera za viwanda zibadilishwe na Serikali itoe support kwa viwanda vya ndani, kuna viwanda vingi sana vinazalisha bidhaa zao nchini lkn kuna bidhaa kama hizo zinatoka nje bila kodi wakati wa ndani vinatozwa kodi.
Mfano mzuri fuatilia mradi wa Mwendokasi Mbagala umetumia fedha nyingi lakini watanzania waliojikwamua kwa mradi huo hakuna, wengi walikuwa ni vibarua lkn mradi unakuwa na propasal kabisa ya watu watakaofanya kazi skilled na unskilled, why wanaajiriwa unskilled tu.