PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA.
SPECIAL REPORT
View: https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI
Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na kusababisha vifo vya askari 3 wa marekani huku wengine 34 walijeruhiwa.
Shambulizi la kutoka angani kwa njia ya drone kulenga majeshi ya Marekani, ni hatua ambayo Marekani inasema inataka kutoa onyo kali kwani halijawahi kutokea hivyo Pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani inataka kutuma ujumbe mzito kwa mgambo vikaragosi na wafadhili wao wa Iran.
Mashambulizi hayo ya Marekani yameanza mara baada ya kuagwa kwa askari watatu wa Marekani kuangwa kwa heshima zote za kijeshi leo ijumaa tarehe 2 February 2024 yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la anga la Marekani Dover Air Force Base iliyopo Delaware nchini Marekani
View: https://m.youtube.com/watch?v=6KXgKWbPXlw
Marekani inatumia ndege aina ya B1 Bomber yenye uwezo wa kubeba 75,000 pounds ya milipuko kuhakikisha inaharibu miundo-mbinu, ngome na hifadhi za mgambo vikaragosi na wafadhili wao waliojichimbia kuongoza mashambulizi dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Syria na Iraq
View: https://m.youtube.com/watch?v=Wh18_bqX-v4
02 February 2024
The US military struck back late Friday at Iranian proxies in Syria and Iraq in retaliation for a drone attack last weekend that killed three US Army soldiers in Jordan, the Pentagon announced.
The strikes began a little more than an hour after the conclusion of a dignified transfer ceremony honoring the three soldiers at Dover Air Force Base in Delaware.