Misri yasema HAMAS ni kundi lisilo na haja ya amani, na halipo kwa maslahi ya Wapalestina

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Taratibu akili zimeanza kuwakaa hawa watu, sikutegemea ipo siku Misri itatoa tamko kama hili.....

Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry sharply criticized Hamas on Saturday, saying that "the organization is outside the Palestinian consensus, which recognizes Israel and wants to reach negotiations with it, because [Hamas] is not ready to give up its support for violence."

Shoukry made these comments at a press conference held at the Munich Security Conference. He also said that "we must give an account of how Hamas gained power in the Gaza Strip, and why it received financial support to increase the division between it and the other peacekeeping Palestinian factions – whether these are the Palestinian Authority, the PLO or the Palestinian public itself."

Referring to a possible IDF operation in Rafah and to the report that Egypt is building a buffer zone on its border where it could take in Palestinian refugees, the Egyptian minister said: "We have no intention of providing safe areas for the Palestinians, but if necessary, we will deal with it with the necessary humanity."
 
Source ni Jerusalem post!?..haishangazi,waliopo madarakani arabuni wengi vibaraka,kinachofanyika Leo na misri kisingefanywa rais angekua yule daktari wa brotherhood aliyepinduliwa na jeshi na kufia gerezani
 
Kila mtu ameachoka na hayo maugaii ya dini yenu, sasa hivi Misri inawaza jinsi ya kutatua matatizo ya ajira kwa vijana wake na issues za ndani.
 
Misri tangu kale ni kibaraka wa USA, UK..ndiyo maana Nasir alidunguliwa baada ya kuamuru majeshi yasisonge mbele kwenye Vita dhidi ya miungu yako ya isre
 
Source ni Jerusalem post!?..haishangazi,waliopo madarakani arabuni wengi vibaraka,kinachofanyika Leo na misri kisingefanywa rais angekua yule daktari wa brotherhood aliyepinduliwa na jeshi na kufia gerezani
Brotherhood ni kundi la kigaidi kwa Saudi Arabia, Egypt na Syria. Hata Qatar wanaolipa msaada halipo kule na hawawezi kubali lianzishwe.

Morsi hakuwa Rais wa kwanza Misri kupinduliwa, na anaweza asiwe wa mwisho. Hata Anwar Sadat aliuwawa na hao magaidi wa Kiislamu wakiitetea Palestina. Wanakaza kichwa hawaelewi uhalisia kwamba mkienda uwanja wa vita mnaumia zaidi kuliko Israel.
 
Tawala za arabuni zinaiogopa brotherhood Kwa kuwa ni kitisho Cha tawala zao za kifalme
 
Misri tangu kale ni kibaraka wa USA, UK..ndiyo maana Nasir alidunguliwa baada ya kuamuru majeshi yasisonge mbele kwenye Vita dhidi ya miungu yako ya isre
Unafikiri vita ni kucheza mziki, jeshi la Misiri ilizidiwa kila kitu hasa air force ya Israel ndio ilimaliza kila kitu, rais hawezi kurudisha nyuma jeshi ambalo linaloelekea kupata ushindi dhidi ya adui, nendeni shule msisikilize story za vjiweni, nia ya hamasi siyo kutafuta amani wao ni kuwaondoa Israel ili watoke mashariki ya kati, Israel anasafisha Gaza halafu apewe Mahamoud Abas wa chama cha Farah ili ndo awe rais wa mamlaka 6a Palestiniana yaani aongoze Gaza na West bank, ili Masalia ya Hamas yakiibuka jeshi la Palestinian chini ya fatah likiwatandike Hamasi
 
Source ni Jerusalem post!?..haishangazi,waliopo madarakani arabuni wengi vibaraka,kinachofanyika Leo na misri kisingefanywa rais angekua yule daktari wa brotherhood aliyepinduliwa na jeshi na kufia gerezani
daktar wa brotherhood halaf unataka aiponde hamas ambayo inafuata nyayo zao , nyie waislam wapumbav nenden hata hapo Somalia mkaishi chini ya sharia mkajionee ushetan wa hayo makundi , mmekaa nyuma ya keyboard chini ya mfumo katoliki ( kama msemavyo ) mnajikuta mna uchungu na hamas
 
raia wa uarabun hawayataki hayo makundi ya kigaidi
Brotherhood Ina wanachama wengi,ukisema hata Leo ianzishwe na igombee saudia wanashinda,hapo misri wanachakachua uchaguzi kuikwepa brotherhood,rais mwenyewe alishawahi kuwa mwanachama wa brotherhood
 
daktar wa brotherhood halaf unataka aiponde hamas ambayo inafuata nyayo zao , nyie waislam wapumbav nenden hata hapo Somalia mkaishi chini ya sharia mkajionee ushetan wa hayo makundi , mmekaa nyuma ya keyboard chini ya mfumo katoliki ( kama msemavyo ) mnajikuta mna uchungu na hamas
Ulishawahi lawitiwa!?..
 
Taratibu akili zimeanza kuwakaa hawa watu, sikutegemea ipo siku Misri itatoa tamko kama hili.....

Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry sharply criticized Hamas on Saturday, saying that "the organization is outside the Palestinian consensus, which recognizes Israel and wants to reach negotiations with it, because [Hamas] is not ready to give up its support for violence."

Shoukry made these comments at a press conference held at the Munich Security Conference. He also said that "we must give an account of how Hamas gained power in the Gaza Strip, and why it received financial support to increase the division between it and the other peacekeeping Palestinian factions – whether these are the Palestinian Authority, the PLO or the Palestinian public itself."

Referring to a possible IDF operation in Rafah and to the report that Egypt is building a buffer zone on its border where it could take in Palestinian refugees, the Egyptian minister said: "We have no intention of providing safe areas for the Palestinians, but if necessary, we will deal with it with the necessary humanity."
Habari zako ni za kudharau. Chanzo cha habari zako ni IDF kitengo cha propaganda
 
Back
Top Bottom