Iran yalaani mapigo yanayofanyika na US kwa maslahi yake hata baada ya kukana haikuhusika

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Iran ilishakana haikuhusika au hata washirika wake hawakuhusika, sasa haielewi kwanini Marekani anapiga chochote chenye harufu ya Iran huko nje.......
Kilichobaki sasa ni Iran kukasirika ifanye kitu tuone mwisho wake maana Marekani wanaendelea kupiga....

Syria and Iraq assail Washington for violation of sovereignty; Hamas says US ‘poured oil on fire’; EU foreign policy chief calls for calm; unconfirmed reports of nearly 40 killed​

The United States faced condemnation Saturday from Iran and its allies, while it received backing from London following airstrikes on Iraq and Syria launched in response to a drone strike that killed three US troops in Jordan last weekend.

“Last night’s attack on Syria and Iraq is an adventurous action and another strategic mistake by the US government, which will have no result other than intensifying tension and instability in the region,” Iran’s Foreign Ministry spokesman Nasser Kanaani said in a statement.

The US has blamed the Islamic Resistance in Iraq, a broad coalition of Iran-backed militias, for the deadly attack in Jordan, but has not yet narrowed it down to a specific group. Iraq’s Kataeb Hezbollah is, however, a top suspect.
 
Kwa nini Marekani asiende kwenye mizizi wa matatizo Iran kama alivyofanya kwa Saddam Hussein au Afghanistan kuliko sasa kupiga vichochoroni tu ?
 
Kwa nini Marekani asiende kwenye mizizi wa matatizo Iran kama alivyofanya kwa Saddam Hussein au Afghanistan kuliko sasa kupiga vichochoroni tu ?
Kuna level ya uchokozi Iran akijichanganya tu yatamkuta hiyo level bado haijafika kwa mfano Iran hebu ajaribu aivamie Israel au Saudia, halaf aone atakachofanywa na US au kwa mfano aingie front yeye mwenyewe jeshi lake livamie base za kijeshi za US zilizojaa middle east aone mziki wa uncle Sam.
 
Ivi kwanini US wanatoa taarifa siku kadhaa kabla ya kushambulia maaduizao!.

Yani wanatoa taarifa Ili adui akimbie ama nini kinaleta maana hapo.

Ama wanalenga kupiga majengo tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ivi kwanini US wanatoa taarifa siku kadhaa kabla ya kushambulia maaduizao!.

Yani wanatoa taarifa Ili adui akimbie ama nini kinaleta maana hapo.

Ama wanalenga kupiga majengo tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app

Maadui wazembe! Wamepewa taarifa na bado wamekufa zaidi ya 40.
Nadhani lengo lilikua ni kuharibu miundombinu ya magaidi kuliko kusababisha maafa.
 
Back
Top Bottom