maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

    Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho ya vikao 3. Mkopo wa gari 4. Posho ya dereva 5. Mfuko wa Jimbo 7. Bima ya matibabu nje ya nchi 8...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kile kinaitwa "Deep State" kipo kwa maslahi ya wachache

    Kuna hii kitu inaitwa "Deep State", ambayo inadaiwa iko kila nchi duniani. Baadhi huamini kwamba "Deep State" ipo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi na wananchi walio wengi. Lakini binafsi naamini kwamba "Deep State" iko kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wachache tu wakiwamo wao. Hii...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

    Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu 1. Mishahara, 2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J), 3. Ulinzi, 4. Dereva, 5. Nyumba, 6. Posho ya mavazi, 7. Mafunzo ughaibuni, 8. Umeme, 9. Maji, 10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Biteko: EWURA zingatia maslahi ya Watanzania na maslahi ya nchi katika kazi za Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji

    EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI -DKT. BITEKO ✔️ Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta ✔️ Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yemen na Iraq waionya Marekani kuiunga mkono Israel. Watalenga maslahi yao

    Huku viongozi wa Marekani wakitoa matamko ya wazi ya utayari wao kuisaidia silaha zaidi Israel na kivitendo imeshasogeza meli za kivita kwenye bahari ya mediteranean karibu na Israel.. Viongozi wakubwa wa mataifa ya Yemen na Iraq wameionya Marekani dhidi ya uingiliaji kati wake huo. Huko Iraq...
  7. B

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  8. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

    Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
  9. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

    Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

    Hello JF. Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi. Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali. Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu...
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika hawana budi kujali maslahi ya watu wao kuliko yao binafsi, mabeberu wa nchi za Magharibi na wengineo

    Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
  12. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Teuzi za wastaafu hazina maslahi kwa taifa: Wateuliwa wanawekwa kulipa fadhila

    Ndio ukweli huo. Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake. Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
  13. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Rais amkane Mwarabu, vinginevyo ni maslahi yake na sio ya Tanganyika

    Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika. Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
  16. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pigeni kelele mchoke, sisi na vyama vingine vya upinzani tumebinafsisha bandari kwa maslahi yetu na vizazi vyetu

    CHADEMA endeleeni kupambana na DP World huku wenzenu wakiungana kukamilisha taratibu za kukabidhi bandari zetu. Wameungana kwa nguvu moja kwamba yanayofanyika yana tija kwa vizazi vyao, ninyi hoja yenu ni maslahi kwa wanyonge. Je, wanyonge na wao nani atapewa kipaombele? Ofcos familia zao...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023 ---- UPDATE---- Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

    Fukuto huko ndani ya chama chao. Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko. Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora na maslahi binafsi

    Utawala bora ni mchakato wa kupima jinsi taasisi za umma zinavyoendesha shughuli zake, kusimamia rasilimali za umma na kuhakikisha utekelezwaji wa haki za binadamu kwa njia ambayo kimsingi haina dhuluma na ufisadi kwa kuzingatia sheria. Kulingana na Umoja wa Mataifa, Utawala Bora hupimwa kwa...
Back
Top Bottom