maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli:- Watu wengi tupo CCM kwa maslahi yetu binafasi..!!!

    INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM 2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe. Watu wengi wapo CCM wana...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

    Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
  3. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanasheria wa Yanga yupo kwa Maslahi ya nani?

  4. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

    Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki! Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

    Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee. Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Manula arudi uwanjani kwa maslahi ya taifa

    "Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia...
  11. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Aga Khan mmekosa utu na kuweka mbele maslahi kuliko huduma kwa wananchi

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji. Ilinistua na nikalazimika kwenda mbali zaidi ili kujua sababu ya suala hilo. Hakika niliumia sana kuona...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Yanga Digital Media acha kushambulia watu binafsi kwa maslahi ya Yanga

    Kupangaia mtu wa mwana habari aandike nini wapi saa ngapi kuhusu Yanga hii sio sahihi, endesha mambo ki ethical usiweke emotional binafsi wewe unawakilisha taasisi unapovamia mtu ni sawa tuone kua taasisi inavamia mtu na kushinikiza isikilizwe vile inataka. Kama mlimlipa sawa mna haki ya...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

    Taarifa yake hii hapa === “Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa namuunga mkono Godbless Lema katika hili alilosema.

    Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote. Ukitoa kazi ya bodaboda ni ngumu sana MDUDU kufanya kazi nyingine. Bahati mbaya wengi wao wanakufa mno...
  15. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu na maslahi ya Mwalimu

    CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi. Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

    Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuifungia KTN iache kuripoti Maandamano, KTN yajibu haitaacha kuripoti taarifa zenye maslahi kwa umma

    Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo. KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio yenye maslahi ya umma kwa wananchi.
  18. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mabeberu Interest yao ni Viongozi watakaowasaidia kwenye Maslahi yao (JK Nyerere)

    Reminiscing from the Past; Hotuba ya Nyerere kuhusu Flip Flopping ya kina USA et al... https://youtu.be/lcu329NAWtM?si=me5_3i-aA6xcJ-Od
Back
Top Bottom