marekani

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kufanyiwa uchunguzi wa jinai

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imeanza uchunguzi wa jinai kwa Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump. Mwanasheria Mkuu, Letitia James, amekuwa akichunguza kama uongo uliripotiwa kwenye thamani ya mali ili Kampuni ipate mikopo na faida za kiuchumi na kodi. Trump ambaye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

    Viongozi wa nataifa mbalimbali wakitembelea nchi yetu, magari husimamishwa kupisha msafara na Rais wa Taifa kama Marekani ndio kabisa mji mzima unaweza kusimama (nakumbuka kufuru ya msafara wa George W. Bush kutoka KIA kwenda Arusha miaka ya 2000 mwanzoni). Miaka ya nyuma bila shaka walikuwa...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

    Habari zenu waungwana wa JamiiForums. Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York nchini Marekani yalipuliwe na magaidi (kulingana na taarifa kamili ya serikali yao) kwa kutumia ndege...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa

    Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa Kevin Strickland, ambaye alifungwa gerezani kwa miaka 43 kimakosa kwa madaia ya hatia ya mauaji matatu katika jiji la Kansas nchini Marekani (USA), ameachiliwa huru. Kulingana na ripoti ya Sputnik, kesi hiyo ilianzishwa baada ya mauaji...
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Marekani imewalipa wadukuzi wa mtandao waliodukua system za bomba la matuta na kusababisha uhaba mkubwa wa mafuta kwa siku 5

    Bomba kubwa la mafuta nchini Marekani limeripotiwa kuwalipa wahalifu wa mtandaoni wanaofahamika kama DarkSide kiasi cha dola milioni tano $5m (£3.6m) kama kikombozi ,baada ya bomba hilo kuvamiwa mtandaoni. Bomba la Colonial lilikuwa linapata wakati mgumu kufanya shughuli zake baada ya kudukuliwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Marekani ya kubali Yaishe

    Marekani imewalipa kundi la wadukuaji wa mitandao kiasi cha USD milioni 5, ili kuliachia bomba kubwa la mafuta la Colonial. Tafsiri yake ni kufeli kwa mfumo wa kiulinzi na kiuchunguzi wa USA. Ikiwa walishindwa kulinasua bomba kwa takribani wiki nzima na hatimaye kuamua kulipa hii si habari njema...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

    Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi. Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake. "Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu...
  9. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

    Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi. Ilianza kwa sauti kubwa...
  10. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Facebook yaamua kutomfungulia Tump akaunti yake

    Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu. Uamuzi huo unafuata baada ya Kampuni hiyo kuifungia akaunti za Trump za Facebook na Instagram kwa muda wa saa...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Marekani yashindwa kubaki Afghanistan

    Baada kuleta hasara kubwa ya maisha ya watu na kuharibu mali kwa miaka takriban 10,Hatimae Marekani imeamua kuondoka nchini Afghanistan ikiwa ni sharti muhimu katika makubaliano yake na wanamgambo wa Taliban.
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Derek Chauvin aomba kesi yake kusikilizwa upya

    Ikiwa ni takriban wiki mbili tangu akutwe na hatia katika mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd, Derek Chauvin ameomba kesi yake kusikilizwa upya. Mwanasheria wa Chauvin, Eric Nelson, amesema uendeshaji wa kesi dhidi ya Polisi huyo wa zamani haukuwa na haki akidai kulikuwa na makosa ya...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Balozi wa Marekani Donald Wright Katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani

    Kwa takriban miaka 30, tarehe 3 Mei ya kila mwaka, dunia imekuwa ikiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani inatupa fursa ya kuenzi nafasi na wajibu muhimu wa vyombo huru vya habari katika kimarishaa na kuhifadhi jamii zilizo huru na...
  14. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

    Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea , kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan...
  15. Ophonso

    JamiiForums Tanzania China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua. Pia tayari...
  16. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Marekani na nchi nyingine zaanza kuondoa Wanajeshi wake Afghanistan

    Marekani yaanza kuondosha wanajeshi Afghanistan. Marekani imeanza awamu ya mwisho ya kuwaondowa wanajeshi wake nchini Afghanistan, huku mashambulizi mapya yakiripotiwa licha ya ulinzi kuimarishwa kwenye maeneo kadhaa ya taifa hilo la Asia. Wanajeshi wawili wa Afghanistan waliuawa na wengine 18...
  17. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamichezo kutoka Afrika Kusini apigwa risasi na Polisi na kufariki

    Hasira zaenea baada ya polisi Marekani kumuua mwanamichezo wa Afrika Kusini. Kifo cha mchezaji wa mpira wa rugby wa Afrika Kusini, Lindani Myeni akiwa mikononi mwa polisi huko Honolulu, Marekani, kimeibua ghadhabu na hasira kali miongoni mwa watu wa Waafrika Kusini. Kumefanyika maandamano ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

    Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas wakutana na Balozi wa Marekani

    Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania. Historia ya Songas Tanzania inajulikana ilivyojawa na utata na nakumbuka mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Kilagi...
Back
Top Bottom