Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa.
Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina akituhumiwa kuwaua watoto wawili wasichana wa kizungu, Betty June Binnicker (11) na Marry Emma...
Barack Obama aliingia madarakani akibeba matumaini makubwa sana ya watu weusi wa Marekani na waafrika wengi kwa ujumla. Watu walifurahi sana na nyimbo nyingi zikaimbwa kusherehekea ujio wa nabii na shujaa huyu mweusi.
Huku kwa mataifa yetu tulitembea kifua mbele tukijua we have a Big brother...
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China.
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken jana ametoa hotuba ya ufunguzi katika siku ya...
Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema.
Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka...
Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya maafsaa wawili wa China kwa kile inachodai ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya waislam wa Uyghur, Xinjiang. Marekani ilishirikiana na Umoja wa Ulaya, Canada na Uingereza kwenye vikwazo ivyo.
Vikwazo ivyo viliwalenga Wang Juzheng na Chen...
Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50 kwenye nchi za Vietnam, Iraq na Afghanistan.
Pamoja na hivyo pia ametoa utabiri kwa uoni wake...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden.
Kuongezeka kwa kiwango cha uuzaji silaha kwa Marekani, Ufaransa na Ujerumani kulisawazishwa na kupungua...
Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii.
Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa:
Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by July 4th | The White House
Habari yenyewe ni kuwa:
1. Marekani kuchanja wote kufikia May 1.
2...
Wenzetu kwenu huko kila kitu kinachumwa kwa kwenda mbele, vyote hivyo ni dili, inashangaza kizazi cha sasa mnaojiita "walioelimika" bado mnaliwa kama ilivyokua kwa mababu zenu japo sitashangaa maana maprofesa wenu ndio hao wanafuata vikombe vya maji ya tangawizi Madagascar na kutangaza eti...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.
Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema.
Chanzo: TBC
Maendeleo hayana vyama!
Kuna mzungu mmoja mjinga kwa jina la Isaac Sturgeon alienda kufanya fujo katika Jan 6th capitol insurrection in Washington DC ambapo supporters wa Trump walienda kuzuia Joe Biden kuwa confirmed kama rais wa Marekani.
Baada ya kufanya fujo na kushindwa kuzuia Biden kuwa confirmed kama rais mpya...
Miaka 3 iliyopita serikali ya Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi kampuni ya vifaa vya mawasiliano ya China, Huawei kwa sababu za kiusalama.
Vikwazo vilianza kung'ata mwaka jana Huawei ikaamua kuuza kampuni yake tanzu ya Honor ili na yenyewe isije kufa kwa vikwazo vya Marekani.
Sasa...
Salaam,
Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko.
Mwingine anaweza kunidadisi...
Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake.
Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe.
Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
Rais Biden wa Marekani ameanza shughuli za kikazi na kama ilivyo kawaida kwa Marekani, rais mpya lazima aanze kwa kushauriana na viongozi wenye ushawishi mkubwa kwenye kila kanda, hapa kaongea na rais Uhuru ili kuwekana sawa kwenye baadhi ya mambo muhimu yanayoihusu Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.