marekani

  1. Informer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Marekani yafanikisha kuokolewa kwa Raia wa Marekani aliyetekwa nyara nchini Niger

    Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria, vyombo vya usalama nchini Marekani vimethibitisha. Raia huyo, Philipe Nathan Walton, alitekwa nyara...
  3. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

    Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia. Kilichotokea kwenye uchaguzi huu Wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Marekani yakosoa na kutilia mashaka mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu 2020 Tanzania

    Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka. Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza)...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa Marekani 2016 Bi Hilary Clinton Leo Ametimiza Umri Wa Miaka 73 Ya Kuzaliwa Kwake!

    Ni Mwanamama Bi Hillary Clinton Ni mke wa Rais wa Zamani wa Marekani Bill Clintone & amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo kubwa Duniani.
  7. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

    Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubalozi wa Marekani: Barua hii inayosambazwa WhatsApp ni feki100%

    Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa kusambaza uzushi. Chukua muda wa kutafakari na kuzithibitisha kabla ya kuzisambaza.
  10. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  11. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama za Ulaya, Marekani na China huwa zinaongeza mishahara ya watumishi wa umma kila mwaka?

    Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Mkenya anayeendesha kampeni za mgombea urais Marekani, bwana Biden

    Wadhifa wake "Director of Special Projects in Biden's 2020 campaign" Democratic party presidential nominee Joe Biden and Director of Special Projects Esther Ongeri TWITTER A Kenyan woman, Esther Ongeri, is among a team of staff working with Democratic Party candidate Joe Biden in the US...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

    I first came to Tanzania over 30 years ago to volunteer as a doctor, and that experience instilled in me a deep and lasting affection and respect for Tanzania and the Tanzanian people. It was the greatest honor of my life to be given the opportunity to come back all these years later to serve as...
  14. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika? Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
  15. SumadaVinci

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani mwaka 2082

    Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa mtoto wa kiume atakaeitwa JAYNOUE OLIVER BECK. ambaye atachaguliwa kuwa raisi wa marekani 3-11-2082...
  16. Ntaghacha

    JamiiForums Tanzania China yaipita Marekani kiuchumi

    IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent?Published 17 hours ago on October 18, 2020By EurAsian Times Desk. The world is waking up to a new reality post the devastating pandemic that brought everything to a grinding halt. One of them is the...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum amtembelea Balozi wa Marekani, wazungumzia uchaguzi!

    Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu. Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Na huyu ndie waliomchagua Wamarekani!

    Hivi vichwa vyengine sijui huwa hawaviangalii kabla? Na Hapo ni kabla ya kuwa rais,Leo hii wanaanza kumsema kumbe si kosa lake ni kosa lao..😂😂 Naomba wampitishe tena..😅
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere akiwa na John F Kennedy nchini Marekani

Back
Top Bottom