Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.
Hapo kwenye Marekani alisema kwa...
Pichani ni tukio lililotokea huko nchini Marekani Polisi wa Ohio wamemkamata Padre Fidelis Moscinski CFR mapema leo kwa kosa la kusali na kukemea utoaji wa mimba.
Hivi karibuni, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alitoa kauli inayokwenda kinyume na ukweli, akizilaumu kampuni za China kupeleka wafanyakazi wake wengi barani Afrika na kunyima fursa za ajira wanazoweza kupata wenyeji wa Afrika.
Alipozungumza na wahitimu wa “Mpango wa Viongozi...
Kutoka kwa Yericko
Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com miaka mitano iliyopita,
Sasa kimekubalika na kuingizwa kwenye soko la makampuni makubwa sita ya...
Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google.
Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatarajia matokeo kuhusu ripoti ya upelelezi wa chanzo cha virusi hivyo.
Wizara ya kigeni nchini China iliishutumu Marekani kwa kufanya siasa na kuirushia lawama.
Imepinga uhusiano wowote kati ya Covid 19 na maabara moja ya virusi katika mji wa China wa...
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limetoa tahariri ikisema, wakati China inapohimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inanyakua nafasi ya maendeleo ya nchi nyingine ili kujiendeleza zaidi.
Hivi karibuni, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alihudhuria...
Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
Good evening jamiiforums
Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)?
Marekani ana-sign peace deal na wanamgambo? How comes? Americans have enough cash, fully equipped military/intelligence machinery plus...
Habari!
Marekani imeiondolea Korea Kusini vizuizi ama ukipenda waweza kuita vikwazo vya muda mrefu (miaka 42) juu ya uwezo wake wa kutengeneza makombora. Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in alitangaza uamuzi huo Ijumaa kufuatia mkutano wake na Rais wa Marekani Joe Biden hivi karibuni jijini...
Inakuwaje wanajamvi!
Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu...
Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi.
Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa...
Waziri Mkuu wa Israel Mheshimiwa Benjamin Netanyau amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Masuala ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken.
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu leo Mei 25, 2021 Benjamin Netsnyau alimshukuru Bwana Blinken na Rais Joe Biden kwa kuendelea...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya
Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na...
Marekani imetangaza vizuizi vya Visa dhidi ya Maafisa wa Ethiopia na Eritrea wanaoshukiwa kwa vita katika Mkoa wa Tigray, ikisema waliohusika hawakuchukua hatua stahiki kumaliza uhasama.
Maelfu waliuawa na wengine kulazimika kukimbia makazi yao tangu Novemba baada ya Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
Dola bandia zilizotumika kwa miongo miwili na kupumbaza dunia
Noti hiyo ya dola bandia haikuwa na makosa yoyote na hata maafisa wa kitengo cha ujasusi hawakuweza kubaini iwapo ilikuwa dola bandia ama nakala mbele yao.
Ni baada ya kipindi kirefu cha uchunguzi ndiposa waliweza kuthibitisha...
Daniel Ellsberg
Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.