marekani

  1. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

    Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S. Naomba kujua. kuna gharama zinazotumika unapokuwa unaaply Je valid passport inahitajika? Na...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaifunga akaunti ya Benki ya Kiongozi wa Hong Kong

    Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam amefungiwa akaunti yake ya benki baada ya Marekani kumuwekea vikwazo vya kiuchumi, ikimuadhibu kwa kutangaza sheria mpya ya usalama wa kitaifa iliyoamrishwa na China bara. Lam amewekewa vikwazo hivyo pamoja na wenzake 14, wote wakiwa maafisa wa ngazi za juu...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaziwekea vikwazo vya kiuchumi Kampuni 4 za China na Urusi kwa kusapoti teknolonia ya Nyuklia Nchini Iran

    The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused of “transferring sensitive technology and items to Iran’s missile programme”, will be subject to...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Marekani very interesting meli ya Mayflower na Pilgrim

    Inakuwaje! Hadithi ya Mayflower ilianza wakati kikundi kidogo cha Separatists walipokimbia Uingereza kwenda Uholanzi mnamo 1608. Kikundi hicho kilikuwa mchanganyiko wa wafanya biashara wa samaki na kikundi kidogo cha Puritan - Wakristo ambao walikuwa wamechagua kujitenga na Kanisa la...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani kuanza utoaji wa chanjo ya COVID mwanzoni mwa Desemba

    Marekani inataraji kuanza utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa afisa wa juu wa afya katika serikali ya Marekani. Kuanza kutolewa kwa chanjo kunaweza kuleta mabadiliko makubwa katika mapambano ya virusi hivyo ambavyo...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Marekani kusitisha adhabu ya kifo inayoendelea kutekelezwa

    Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa wito kwa serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo ya unyongaji iliyoanzishwa tena kufuatia uamuzi uliochukuliwa. Peter Stano ambaye ni Msemaji wa Kamati ya EU, alitoa maelezo kuhusu suala hilo na kubainisha hofu waliyokuwa nayo dhidi ya serikali...
  7. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kipato na vurugu nchini Marekani

    TUZUNGUMZIE UBAGUZI WA RANGI, UBAGUZI WA KIPATO, NA VURUGU NCHINI MAREKANI Leo 10:50hrs 22/11/2020 Mwaka 2016 Dr Ben Carson alialikwa na Rev Shapton kwenye mkutano wa watu weusi kule New York kama mgeni rasmi,hii ni kabla ya kutangaza kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2016, Aliamua kuwaambia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

    Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele. ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni...
  9. Naton Jr

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mteule wa Taifa la Marekani Joe Biden leo Ijumaa ametimiza umri wa Miaka 78 ya kuzaliwa kwake

    Happy birthday to him Happy anniversary to the family Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa Tunampongeza pia kwa ushindi wa kishindo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

    Ulaya na Marekekani wakibana na Marekani wakatumia influence yao kwenye mashirika kama Benki ya dunia, nchi hii miradi mingi itakwama na hata hiyo SGR na ujenzi wa Bwawa la Umeme vyote vinaweza kuathirika ikiwemo kukwama kabisa kwa miradi hiyo. Hata kama fedha za hii miradi hazitoki Ulaya na...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ni bakora ya kuipiga Marekani

    Sio kila kinachotokea kwa binadamu hujulikana makusudio yake kwa haraka.Mwenyezi Mungu ana majeshi ya aina nyingi kuanzia vidudu visivyoonekana kwa macho kam vile virusi aina mbali mbali, Wako wadudu wadogo wadogo wasioshindikana kwa mabomu wala dawa kama vile nzi na mbu. Silaha za Mwenyezi...
  13. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara, idara ya FBI ya Marekani wako Sayari nyingine kwenye mambo ya uchunguzi wa makosa ya jinai

    Kuna kipindi nilisoma mtazamo wa mwenajukwaa huku anaitwa Nyani Ngabu kuhusu kesi ya mwanamuziki Robert Kelly ya unyanyasaji wa kingono, jamaa akasema FBI wakikushitaki uwezekano wa wewe kuchomoka ni chini ya 10% sikuamini saana. Akasema uwezekano wa R. Kelly kuchomoka ni mdogo sana sikutilia...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    WanaJF, Salaam! Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania. Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  16. I_manyota

    JamiiForums Tanzania Producer scott storch - the iconic -na story kuhusu ngoma yake aliyotoboa nayo still-dre ft snoop dogg

    Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it. Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch...
  17. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia historia ya siasa ya Afrika,nimegundua 80% ya nchi za Afrika ni majimbo ya nchi za Ulaya na Marekani na marais ni kama ma Governor Tu

    Leo nimepitia karibu nchi zote za afrika historia ya siasa zao na namna uongozi unavyopatikana nchi hizo..kimsingi nchi zetu hata zile ambazo zinaonekana zimetulia hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe ujue kuna nguvu kubwa nyuma wanasaidiwa na hizi nchi za kimagharibi pamoja na marekani kwa kiasi...
  18. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Wakuu, Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao. Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
  19. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

    Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara. NB Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu? Kuna mengi tunafichwa. Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
Back
Top Bottom