marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

    Salaam, Shalom!! Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu, Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

    Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu! Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kama tunaweza kuteua Marehemu, inatia shaka suala la Vetting linafanyikaje na je kuna mapandikizi kiasi gani Serikalini

    Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale wanaochaguliwa kuwa na sifa zinazohitajika, wanakubalika, na hawana dosari zinazoweza kuathiri utendaji...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

    Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi. How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein mwaka 2006 na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke

    Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona mbele? Najua kuwa aliwahi kutabiri kuwa mtu yeyote atakayechukua formu kumpiga Kikwete mwaka 2010...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

    Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana. Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
  7. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana! UPDATES: Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

    Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja. Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
  9. goroko77

    JamiiForums Tanzania Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake Kwa kifupi marehemu alikuwa na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

    Wakuu ni aje, Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi! Wajuzi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    “MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.” Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa Bado...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika historia za Marehemu inawataja Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha?

    Naomba kujibiwa swali linalonitatiza, Inaposomwa historia fupi ya Marehemu inataja ameacha Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha katika uhai wake Mashamba, Nyumba na Magari? Pia katika Wosia aliondika katika uhai wake ameorodhesha Mali, Pesa na Madeni na mgawanyo wake bila kutaja Amewacha...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu mzee alikuwa na bahati sana Nawasilisha
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wahusika tuwekee katika TanzLII Judgement ya mke wa marehemu Bilionea Msuya tusome reasoning ya Judge

    Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible! Tuwekeeni tuchambue reasoning ya Judge maana sasa inaruhusiwa kusema lolote kuhusu shauri hilo na Judgement hiyo.
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mambo yako yakaenda vibaya sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu?

    Naomba kuuliza hivi Mambo yako yanaweza yakaenda vibaya kila unachofanya kisifanikiwe kwa sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu waliotangulia? Yaani kuwakumbuka kwa kufanya ibada? Je, kuna mahusiano?
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasifu wa marehemu waliohama CCM na kisha kurudi huwa hawaandiki historia ya vyama pinzani walivyohamia?

    Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais. Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea urais, lakini siku ya msiba hawakusoma historia ya yeye kujiunga na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwenye misiba tunafanya nini hasa, kuaga mwili wa marehemu au kumuaga marehemu? Kutoa heshima kwa mwili wa marehemu au kutoa heshima kwa marehemu?

    Kifo ni fumbo. Ni nini hasa hutokea mtu anapokufa? Je binadamu ni nini hasa mwili au pumzi ya uhai ndani ya mwili au vyote? Je ni sahihi kusema tunaaga mwili wa marehemu au tunamuaga marehemu? Je hata wale wasioamini maisha nje ya mwili hufanya nini mbele ya miili ya marehemu? Kuheshimu, kuaga...
Back
Top Bottom