marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Marehemu Carina umekuwa ndo Spotlight

    Hivi ni nani ambaye ametuvuruga akili na kukosa utu kiasi hiki? Ni nani ambaye anaweza kutumia japo 5% ya akili yake kutambua kuwa sio kila kinapaswa kuwa Spotlight mitandaoni? Ni mtu yupi ambaye anaweza kutoka mbele ya hadhara na kusemea hili? Dada yetu Carina alipoanza kuumwa, media...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  3. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Kipi bora-Kumchangia mgonjwa au Marehemu

    Nipo nimekaa hapa nawaza Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wazee na Wanachama wa Simba: Yanga wamezoea kubebwa kama Marehemu

    Wazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi 8 mwaka huu.
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Marehemu Magufuli angekuwepo leo Tanzania tungekua tunauza nguo zilizotumika (mitumba) nje ya nchi

    Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu. Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya? Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

    Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanataka kutoana roho kwa mali alizoacha marehemu baba yao General mbuge

    Mali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Barua ya marehemu mama kwa mwanae - siku tatu baada ya kuzikwa

    BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!! Mwanangu Mpendwa, Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini sasa nimeenda na baraka zangu. Chai ya asubuhi, chakula cha mchana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Sioi Sumary aliekuwa mkwe wa marehemu Lowassa?

    Wasalamu Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
  10. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema. Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakiri Marehemu Ulomi alikuwa Koplo lakini aliacha kazi mwaka huu

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

    Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aungana na familia, Viongozi na Waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa Dkt. Faustine Ndugulile

    Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na familia, viongozi na waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile, katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Pia, Soma...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Marehemu wote unaisha

    Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani mke akiuza nyumba baada ya mume kufariki?

    Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine. Kama mwanaume amefariki halafu mke/mwanamke akaamua kuuza nyumba waliyokuwa wanaishi kwa sababu zozote zile upande wa wakwe huwa...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala Wangu na Marehemu Mayanja Kiwanuka 1988

    MJADALA WANGU NA MAREHEMU DR. KATAROGE MAYANJA KIWANUKA (AHMED KIWANUKA) 1988 Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu: ‘’Historia hii itufunze mambo mengi. Kafa Kiwanuka alikuwa mwanajeshi hadi cheo cha Captain. Alikuwa Mshauri wa Rais Mkapa, alikuwa Mkuu wa Mkoa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote kati ya Philip Isdor Mpango na Marehemu King Kikii

    Salaam Wakuu, Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana. Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania. Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watani wangeruhusiwa katika Msiba wa Marehemu Mafuru ungenoga, lakini Msiba unaoendeshwa 'Kiprotokali' muda wote hadi Unaboa sasa

    Njooni huku Uswahili kwetu mkute Misiba ya Watani zangu Washamba tupu akina Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi ikitokea halafu mtuone Watu wa Mara (Musoma) tunavyoinogesha kiasi kwamba hata Marehemu mwenyewe sometimes huwa anatabasamu Jenezani alipolala. Misiba...
Back
Top Bottom