Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa ninachomaanisha?

Siku zote huwa nina kismati sana miaka kadhaa ya kifo cha ndugu yetu kule uchagani nilipewa ruhusu ya kumtuza mke wa ndugu yangu mwenye CHE na wala hamjawahi kusikia kelele yoyote ile na sasa japo mtoto wa kiume wa marehemu ni mfuasi wa party ya mambuzi ila hiyo hainipi tabu kabisa

Ndugu yetu wengine wanafika mbali sana eti marehemu alistahili nafasi ya juu sana kabisa kwa hawa koloni la waarabu,wajerumani na waingereza ila wapi! Poleni sana
 
Back
Top Bottom