Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.
Chanzo: Tanzania Abroad tv
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini.
Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba...
wanabodi
Nimekaa nikawaza hili jambo, mara zote wosia wa marehemu unajikita kwenye historia ya elimu, kuoa au kuolewa na kazi ila hazitaji mafanikio ya kimsingi kwa marehemu, its high time tubadilishe hili pengine tukahimiza maendeleo ya vitu kwa jamii zetu
Wengi huwa aidha tumewahi kuandaa shughuli ya 40, kwa marehemu wetu au tumewahi kushiriki ufanyikaji wa 40, kwa majirani au rafiki zatu katika kumaliza msiba!
Shughuli hii imekuwa ikifanyika sana na dini zote mbili kwa maana waisilam na Wakristo pia.
Ipo hivi:
Watu wengi wamekuwa wakifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.