marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM. Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

    Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

    https://youtu.be/KyKBrBjCuf4?si=riIJh0YWtQ-9mt8o
  6. erasto Samwel

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Marehemu wengi Katavi waandikishwa kwenye daftari la wapiga kura

    Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea. Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rungu la Marehemu Pembe kupewa Samia

    Comments ziwe fupi fupi!
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

    Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
  9. Optimists

    JamiiForums Tanzania Inakuaje ndugu wanagombania mali za marehemu?

    Naomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake? Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu waje wagombanie?, mfano mtu amezaliwa na kukua mjini, ndugu wa baba wapo sehemu mbali mbali, au...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwetu wakristo watoto wa nje wana haki sawa ya kurithi mali kama watoto wa ndani ya ndoa, Dada wa Arusha awape mali watoto wa Housegirl

    Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje. Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

    Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja. Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani. Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  13. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Marehemu "Saimoni Sayi" A K.A Complex

    MAREHEMU COMPLEX _________________ "Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Marehemu "Saimoni sayi " A.K.A complex

    MAREHEMU COMPLEX _________________ "Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli marehemu huwa haandikagi usia wa uongo?

    Inasemekana marehemu huwa haandikagi usia wa uongo maana anajua akishakufa habari yake imeisha na uongo hautamsaidia kitu Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili? Tusubiri uchunguzi wa kitaalamu
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Sekeseke kati ya Polisi na Wanafamilia laibuka katika harakati la kufukua mwili wa marehemu kupimwa DNA

    Mwili unaogombaniwa na familia mbili ambao ulizikwa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umefukuliwa leo kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya vina saba (DNA). Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, (31)aliyefariki Juni 16,2024 na kuzikwa...
  17. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

    Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

    Mwaka jana rafiki yangu akiwa amepakiza familia yake kwenye gari binafsi alipata ajali ba kufariki hapohapo. Kwa ufupi ni kwamba kuna lori lilifeli break likawa linakuja kasi upande wake yeye akidhani ni mbwembwe za dereva wa lori Lori lilipomkaribia akatoa tusi ile anamalizia herufi o tu...
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Back
Top Bottom