mapinduzi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

    Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi. Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani. Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hezekiah Ochuka: Mwanajeshi aliyeitawala Kenya kwa saa 6 tu baada ya kutekeleza mapinduzi

    Huyu Mwamba, mnamo mwaka 1982, alimfurusha Rais Moi Ikulu na akachukua nchi. Ilikuwa hivi!! Hezekiah Ochuka, alikuwa ni mwanajeshi wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Kenya. Inasemwa alikuwa ni rubani matata sana na mtundu. Mwaka 1982, akiwa kikosi cha anga, aliamua kuteka Airforce One na kuingia...
  3. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

    Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao. Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Waarabu waliapa kurudi Zanzibar, Je yanaoendelea ni mapinduzi ya Afrabia?

    Je mnakumbuka kitabu cha Dr. Harith Ghassany aliyeandika kitabu chake cha Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru, ambacho Mzee wetu Mohamed Said(Yumo humu) alikuwa ni research assistant wa kitabu hicho. Mzee wangu Mohamed Said najua una mengi ya kuzungumzia kitabu kile ambacho kwa kiasi kikubwa...
  5. KILIO KIKUU

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinamizi kwenye tasnia ya uandishi wa habari,Yahitaji mapinduzi na mabadiliko chanya

    Utangulizi. Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha uwasilishwaji wa habari.hii inapelekea kila mtu atamani kutoa habari bila kujali amesomea au...
  7. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu. Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana. Unatuletea roho mbaya sisi nani aliyekuambia ushabikie kolo fc nanii. Acha roho mbaya wewe pushy.. Fika final usituretee roho...
  8. Kabula Hamis

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya elimu katika kuchochea utawala bora na mabadiliko

    Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la mjadala na hamasa kuhusu mabadiliko na utawala bora katika nyanja ya elimu. Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuleta mabadiliko katika mfumo wa elimu ili kuboresha ubora wa...
  9. Elly official

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  11. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Rais Samia futa umaskini Tanzania kwa mapinduzi makubwa ya kilimo. Unaweza

    Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner aponda jeshi la Urusi na kusifia la Ukraine, atahadharisha mapinduzi

    Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi ====================== 02:18 - Source: CNN CNN — A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in...
  13. mvuvimvivu

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Video: mapinduzi ya unguja

  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao. Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
  17. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
  18. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

    Ombi kwa serikali iwasaidie wananchi wa Fuoni meli tano sheli, shehia ya Mnarani, kuhusu nyumba namba SH. MNR. 08/101 Ni kero zaidi ya kero kwenye mtaa, wanauza pombe za bia wakiwa hawana leseni pia pombe za kienyeji aina ya gongo na bangi wakati pombe hizi ni haramu kwa mjibu wa sheria...
  19. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

    Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema. Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi kinahusika na ubadhirifu huu

    Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika vibaya na kuishia matumboni kwa wachache. Chama tawala kimekuwa kikijinasibu kama msimamizi wa...
Back
Top Bottom