mapinduzi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  3. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  6. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  7. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola na Mapinduzi ya Soka

    Kwasasa mpira umebadilika sana tofauti na enzi za kina Ferguson, Arsene Wenger n.k miaka ya 2000s. Moja ya watu walioleta mapinduzi ya soka ni Pep Guardiolaz, huyu ana wanafunzi wake wengi sana aliokaa nao na wanaoiga uchezaji wake, kina Xavi Hernandez, Mikel Arteta, Erik Ten hag, n.k Moja ya...
  8. Thailand

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
  9. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

    Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo. Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi. Hivi katika dunia ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika mapinduzi kidijitali na diplomasia ya uchumi

    Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti. Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweka historia mpya katika Sekta ya Elimu

    Rais Samia anaenda kuweka historia nyingine mpya katika sekta ya elimu licha ya maboresho makubwa yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2021/22 kwa sekta ya Elimu, tayari serikali imepanga kutumia kiasi cha takribani Trilioni 2.78 katika miradi ya maendeleo ya Elimu. pia Kupitia mradi wa...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Unamjua ''Bamanga'' Katika Historia ya Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar?

    UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR? Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.'' Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili za mzalendo huyu ambae hatajwi katika historia ya Zanzibar. Nimemtaja Ahmed Rashaad Ali mara nyingi...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

    Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 1907 A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907. ⁣ ⁣ The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF fikirieni tena juu ya timu kucheza mashindano ya Mapinduzi

    Timu za bara kushiriki mashindano ya Mapinduzi kuna faida chache sana za kimpira kwa TFF, ligi, timu na wachezaji wa timu za bara kuliko hasara.
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi katika huduma zetu

    Siku zote inaaminika kuwa mteja ni mfalme. Je ni kweli? Wakati mwingine mteja anaamua kwenda kutafuta huduma sehemu nyingine. Yote ni kwasababu amekutana na maswaibu mengi pindi alipohitaji kupata huduma. Baadhi ya watoa huduma hawana lugha nzuri kwa wateja. Siku moja nilimshuhudia mama mmoja...
  18. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mifumo ya kisera inayoweza kuhakikisha Afrika kupokea mapinduzi ya nne ya viwanda, ili kukuza ushirikishwaji wa vijana katika ajenda ya biashara

    Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Malaria kupata Chanjo ya pili hivi karibuni

    Chuo kikuu cha Oxford kimekamilisha jaribio la kwanza la uchunguzi wa kitabibu kuhusu ufanisi wa chanjo mpya ya ugonjwa wa Malaria iliyopewa jina la R21/Matrix-M. Kwa mujibu wa chapisho la uchunguzi huu lilolotolewa kwenye Jarida la The Lancet, chanjo hii inaweza kutengeneza kingamwili zenye...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Mapinduzi zaikumba tena Burundi

    Wakati hali ikionekana kuwa shwari, mvutano wa kisiasa umeongezeka tena, kufuatia tuhuma za baadhi ya Viongozi Wakuu kupanga njama ya kumng'oa madarakani Rais Evariste Ndayishimiye Mnamo Agosti 2 Rais Ndayishimiye, alipokuwa akiwahutubia maafisa wa Serikali alionya kuwa “baadhi ya watu” ambao...
Back
Top Bottom