Kiongozi wa Wagner aponda jeshi la Urusi na kusifia la Ukraine, atahadharisha mapinduzi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,752
48,345
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi

======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in Ukraine continues, the chief of private military group Wagner has said, in a scathing assessment of Moscow’s military readiness that could further expose divisions in Russian President Vladimir Putin’s military hierarchy.

Yevgeny Prigozhin said in an interview with Konstantin Dolgov, a pro-Russian blogger, that Moscow’s troops are unprepared to resist forces loyal to Kyiv even when they enter Russian territory.

He also praised the capabilities of the Ukrainian army, and urged Moscow to escalate its war effort if it wants to avoid a long and costly conflict.

“I believe Ukrainians today are one of the strongest armies in the world,” Prigozhin said. He called Kyiv’s forces “highly organized, highly trained and their intelligence is on the highest level, they can operate any military system with equal success, a Soviet or a NATO one.”

In recent days Moscow suffered embarrassment when a group of anti-Putin Russians entered the Belgorod region in an incursion that caused anger and confusion among Russia’s influential military analysts.

Asked about the incident, Prigozhin said Russian defense forces are “absolutely not ready to resist them in any shape or form.”

Mdogo wangu kila siku nakuambia vita ni ghiliba, juzi kawaingiza mkenge pale Bakhmut, ukaleta porojo nyingi sana, nikakwambia tafuta kitabu cha Tsu Nzu The Art of War ukisome, ujue vita inavyopangwa, na kupiganwa.

Urusi ikakomba mji kilaini, endelea kuleta viuzi vyako vya kikekike hapa, tutakuita na utajificha kama kundu la mbwa aliufyata

Wala hamna jipya maana anasema kitu amacho tumeshuhudia jinsi Urusi ina jeshi la hovyo, amelia lia sana tangu mwanzo, amekua akitafuta pakutokea, hadi akatishia kuondoa jeshi lake kama hatapewa silaha, alipopewa akawa hana lingine la kusema, akaona aibuke na jipya kwamba ameshinda na kuteka Bakhmut na sasa anataka kuondoa wapiganaji wake ili jeshi la Urusi lichukue.

Mapigano Bakhmut bado yapo, na kama alivyosema Zele, vilianzia Crimea vitaishia Crimea.
 
Vita ni porojo na propaganda ili uingie mkenge,
Ukraine wakiamini tu kauli yake ndio mwisho wao,Kama walivyochezea
 
Mimi Sina upande wowote ila napenda dunia isiongozwe na taifa Moja, Ni kweli kuivamia nchi nyingine ni vibaya.Ndo maana sipendi Yale yanayo fanywa na islrael sick ya wenyenyeji wa pale yaani Wapalestina na waarabu. Pia Marekani amevamia nchi nyingi na kuziharibu.Sijasikia watu wakilalamika.Kwani Mrusi kipi kigeni Kafanya ni muendelezo uleule wa wazungu.
 
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi

======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in Ukraine continues, the chief of private military group Wagner has said, in a scathing assessment of Moscow’s military readiness that could further expose divisions in Russian President Vladimir Putin’s military hierarchy.

Yevgeny Prigozhin said in an interview with Konstantin Dolgov, a pro-Russian blogger, that Moscow’s troops are unprepared to resist forces loyal to Kyiv even when they enter Russian territory.

He also praised the capabilities of the Ukrainian army, and urged Moscow to escalate its war effort if it wants to avoid a long and costly conflict.

“I believe Ukrainians today are one of the strongest armies in the world,” Prigozhin said. He called Kyiv’s forces “highly organized, highly trained and their intelligence is on the highest level, they can operate any military system with equal success, a Soviet or a NATO one.”

In recent days Moscow suffered embarrassment when a group of anti-Putin Russians entered the Belgorod region in an incursion that caused anger and confusion among Russia’s influential military analysts.

Asked about the incident, Prigozhin said Russian defense forces are “absolutely not ready to resist them in any shape or form.”

Urusi ilikuwa ovyo zamani kabla hajakodi mamluki kutoka Wagner group, alitathmini vita ya saa 72 tu kumaliza kila kitu lakini sasa hali ni tofauti kwake, Huyu Prigozhin anaondoa mamluki wake bakhmuti baada ya kupoteza askari zaidi ya 22,000 na sasa putin anaweza akamla kichwa kwa kutoka kauli kama hizi za kumvunja moyo
 
Mik
Mimi pia Naamini hivyo ila pamoja na ubovu wake linapigana na nchi 30+ inakuwaje yaani Kuna muujiza gani, au ndo taifa teule. EBU tueleweshane hapo
Mkuu fungua history emu kidogo icho kichwa chako kifunuke, Urusi vita ya sovieti alisaidiwa na US na west ndio akashinda, Tanzania ilipopigana na Uganda Iddi Amini akipokea silaha kutoka Libya kwa Gadafi ivi wataka kunambia sasa tuhamishe history kwamba Tanzania haikupigana na Uganda kwa Gaddafi alimpa silaha Iddi Amini?

Leo ni kwa vipi Urusi anasherehekea vita ya pili ya dunia kwa ushindi akasahau Mataifa kama US kumpa msaada? ni vile huwa munajitoa fahamu na hauelewi chochote
 
Hivi EU ipo na nchi ngapi?
Je, ukiunganisha na G7 na NATO?
Hivi ulishawahi kusoma hesabu za SETS?
Urusi haina ubavu wa kusimama vita na mataifa 30 hata Marekani na nguvu zake hawezi kusimama vita na mataifa 30 hiyo vita tungeona ndege za fighter jet za NATO na makombora ya masafa marefu yakirushwa hadi Moscow msiwe mnaropoka mkiwa kwenye vijiwe vya kahawa mkaona wote ni wakudanganywa kihivyo
 
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi

======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in Ukraine continues, the chief of private military group Wagner has said, in a scathing assessment of Moscow’s military readiness that could further expose divisions in Russian President Vladimir Putin’s military hierarchy.

Yevgeny Prigozhin said in an interview with Konstantin Dolgov, a pro-Russian blogger, that Moscow’s troops are unprepared to resist forces loyal to Kyiv even when they enter Russian territory.

He also praised the capabilities of the Ukrainian army, and urged Moscow to escalate its war effort if it wants to avoid a long and costly conflict.

“I believe Ukrainians today are one of the strongest armies in the world,” Prigozhin said. He called Kyiv’s forces “highly organized, highly trained and their intelligence is on the highest level, they can operate any military system with equal success, a Soviet or a NATO one.”

In recent days Moscow suffered embarrassment when a group of anti-Putin Russians entered the Belgorod region in an incursion that caused anger and confusion among Russia’s influential military analysts.

Asked about the incident, Prigozhin said Russian defense forces are “absolutely not ready to resist them in any shape or form.”

Bakhmut si walisema wanasusa wanaondoka ikawaje........... Jamaa propaganda zake anazijua mwenyewe,,,,,,, anawapa vichwa mkiingia mkenge wanawabutua
 
Urusi haina ubavu wa kusimama vita na mataifa 30 hata Marekani na nguvu zake hawezi kusimama vita na mataifa 30 hiyo vita tungeona ndege za fighter jet za NATO na makombora ya masafa marefu yakirushwa hadi Moscow msiwe mnaropoka mkiwa kwenye vijiwe vya kahawa mkaona wote ni wakudanganywa kihivyo
Hayupo ukraine peke yake hapo ukimind kunya boga
 
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi

======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in Ukraine continues, the chief of private military group Wagner has said, in a scathing assessment of Moscow’s military readiness that could further expose divisions in Russian President Vladimir Putin’s military hierarchy.

Yevgeny Prigozhin said in an interview with Konstantin Dolgov, a pro-Russian blogger, that Moscow’s troops are unprepared to resist forces loyal to Kyiv even when they enter Russian territory.

He also praised the capabilities of the Ukrainian army, and urged Moscow to escalate its war effort if it wants to avoid a long and costly conflict.

“I believe Ukrainians today are one of the strongest armies in the world,” Prigozhin said. He called Kyiv’s forces “highly organized, highly trained and their intelligence is on the highest level, they can operate any military system with equal success, a Soviet or a NATO one.”

In recent days Moscow suffered embarrassment when a group of anti-Putin Russians entered the Belgorod region in an incursion that caused anger and confusion among Russia’s influential military analysts.

Asked about the incident, Prigozhin said Russian defense forces are “absolutely not ready to resist them in any shape or form.”

Pambana na njaa inayochukua uhai wa wakenya zaidi ya mauaji kimbari
 
Mkuu fungua history emu kidogo icho kichwa chako kifunuke, Urusi vita ya sovieti alisaidiwa na US na west ndio akashinda, Tanzania ilipopigana na Uganda Iddi Amini akipokea silaha kutoka Libya kwa Gadafi ivi wataka kunambia sasa tuhamishe history kwamba Tanzania haikupigana na Uganda kwa Gaddafi alimpa silaha Iddi Amini?

Leo ni kwa vipi Urusi anasherehekea vita ya pili ya dunia kwa ushindi akasahau Mataifa kama US kumpa msaada? ni vile huwa munajitoa fahamu na hauelewi chochote
Ukreni nitofauti Sana yaani mtu anakuletea siraha umchokoze jirani yako, aki react tuna mchangia . Kosa la ukreni ni kumkarbisha adui wa Mrusi uwanjani i kwake akiwa na mawe na mapanga .Ukweli usemwe hizo zote nichokochoko za usa
 
images (8).jpeg
 
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi

======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in Ukraine continues, the chief of private military group Wagner has said, in a scathing assessment of Moscow’s military readiness that could further expose divisions in Russian President Vladimir Putin’s military hierarchy.

Yevgeny Prigozhin said in an interview with Konstantin Dolgov, a pro-Russian blogger, that Moscow’s troops are unprepared to resist forces loyal to Kyiv even when they enter Russian territory.

He also praised the capabilities of the Ukrainian army, and urged Moscow to escalate its war effort if it wants to avoid a long and costly conflict.

“I believe Ukrainians today are one of the strongest armies in the world,” Prigozhin said. He called Kyiv’s forces “highly organized, highly trained and their intelligence is on the highest level, they can operate any military system with equal success, a Soviet or a NATO one.”

In recent days Moscow suffered embarrassment when a group of anti-Putin Russians entered the Belgorod region in an incursion that caused anger and confusion among Russia’s influential military analysts.

Asked about the incident, Prigozhin said Russian defense forces are “absolutely not ready to resist them in any shape or form.”

Mtego mwingine huo
 
Back
Top Bottom