mapenzi

  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

    MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE... Alikuwa kawaida tu. Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo. Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na mkewe katika hali ya mahaba. Alikuwa baba wa familia ya watoto wawili; kijana Isago Tshube (7) na...
  2. Deadbody

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya mapenzi?

    Dah nakumbuka me ndio nilikuwa naanza nikakutana Na demu Fundi balaa basi nilikuwa nazidiwa possession kila round. Me ndio sijui chochote zaidi ya stori za kitaa.Nikapapasa kama nilivyokuwa nasikia maana wanasema sijui kumwandaa basi ikawa fujo tu ,Mara nibonyeze tako Mara nishike ziwa full...
  3. blogger

    JamiiForums Tanzania Stamina anaimba hisia za kujeruhiwa kwa mapenzi kwa hisia kali sana

    Inawezekana huyu msanii ana bahati mbaya sana katika upande huu wa mahusiano. Ni kweli au kazi tu!? Tizama wimbo huu mkali kabisa.. Bushoke nae karejea vizuri kabisa.
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bora nini kati ya Mapenzi au Mahusiano?

    Wasalaam JF ! Mie nachagua Mapenzi Nawasalimu kwa bashasha na nderemo nyingi kuelekea siku ya wenye kubarikiwa urithi wenye turufu au maarufu mbususu a.k.a the valley of joy and happiness. sambamba na salamu hizo kauli mbiu yetu sisi mabaharia ipo pale pale. Niwaulize swali la kifalsafa...
  5. DiasporaUSA

    JamiiForums Tanzania 5 tricks to make girls or women chase you

    I hope every Tanzania back home is doing pretty fine. Today I would love to share with a brief talk on how as man you can trick women and girls so that they may forced to chase you Basically this a Psychology Thread so if you can picture yourself as a person capable of doing these following...
  6. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

    Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia. Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
  7. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Hawa viumbe wanapenda hela

  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliumbwa kupambania ubora katika maisha na sio kulialia kuhusu mapenzi

    Hello mamboz JF! Mara zote ninapohimiza kutafuta pesa namaanisha sana tu kuhusu kutafuta pesa, uwe na pesa, uwe na amani ukiwa na pesa uwe na utulivu ukiwa na pesa uwe na furaha ukiwa na pesa, uwe mwenye afya bora ukiwa na pesa uwe na utulivu wa mwili, roho na nafsi ukiwa na pesa. Ukiwa na...
  10. matimbanyula

    JamiiForums Tanzania Wananiandama kisa kanizidi miaka mitatu, niendelee na mpango wa kukamilisha uchumba?

    Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili, Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Faida za kufanya mapenzi na mwenza wako kabla ya ndoa

    Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali. Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naelekea kuzama penzini

    Wadau, habari zenu. Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo. Sasa kisanga kikaanza, siku moja tukiwa...
  13. DEICHMANN

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike wa tajiri (Bosslady)

    Natafuta mchumba kike awe tajiri. Sifa zangu; 1. Mimi ni black kidogo. 2. Elimu yangu certificate ya Tehama. 3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania. Sifa zake huyo msichana; 1. Awe tajiri Boss lady. 2. Umri...
  14. proxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

    Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada. Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

    Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani. Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
  16. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpiga X-Ray mke wangu mtarajiwa na ukoo wake

    Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam. Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa...
  17. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mapenzi Yanahitaji Muda Wa Pamoja Zaidi, Si Pesa Tu

    Jana baada ya kusoma sms ya M-Pesa imethibishwa umepokea… kama shukrani. Nilipokea simu ya mteja wangu akiwa na furaha kweli. Furaha yake ni baada ya kusikia maneno aliyokua anasubiri kuyasikia kutoka kwa mpenzi wake. Lakini kabla ya hapo hebu nikushirikishe kisa chake ili nawe upate kujifunza...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kaka umetukosea kumtesa wifi, mapenzi yake kwako yalionekana dhahiri, sidhani kama atakubali

    Rafiki yangu alimlaumu kaka yake, nami nikaumia kwa kuwa nilifahamu kisa cha ndoa ile. Nitaelelza machache nayofahamu ambayo yaliniumiza. Sitaelelzea ndoa yao kiundani ndugu wa rafiki yangu hawa ambao kwa makadirio walifunga ndoa mwaka 2016 na kubarikiwa mtoto 1 huku binti akiwa alikuwa na...
  19. Thegreatseeker

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kitanga amefanya nimnyooshee mikono katika mapenzi

    Habari zenu wakuu, Nisiwapotezee muda moja kwa moja niende kwenye mada husika. Katika harakat za kusaka jinsi ya kukituliza kichwa kidgo ili kipate kutulia nikakutana na kadem kakitanga portable flan hv mimi napenda kuviita EASY TO CARRY, nikakipanga fresh na nikakipa mualiko kitimbe geto...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mlioapa kutofanya mapenzi hadi ndoa mwaka 2001 pale uwanja wa mashujaa Moshi, mlifanikiwa?

    Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
Back
Top Bottom