mapenzi

  1. Silivian

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe." Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Na Kila Mmoja Wetu Popote Naawe Mtulivu: Tuliangalie Suala la Mapenzi ya Jinsia

    Jambo lolote ambalo linafafanuliwa kama dhambi ni ouvu. Hii ni kwa sababu dhambi ni kosa dhidi ya akili na dhamiri safi. Kwa hiyo si tu kuhusu mapenzi ya jinsia moja au ndoa za jinsia moja, lakini kwa kweli mambo yote yanayokatwa na amri kuu ya mapendo kama ilivyofafanuliwa na amri kumi za...
  3. Analyse

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case. Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka...
  4. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  5. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

    Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu.... Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana.... 1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa, 2. Hawataki makuu wao...
  6. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

    Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  8. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu sana

    Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee. Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano. Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mapenzi na Maufundi Kitandani Hakuna Zaidi ya Myao Africa Mashariki Yote

    Hello hello JF family Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere, wazigua, wabondei, wazaramo, na mashine za kusini mmakinde, mwera, mmakua, wangoni, wanyasa. Na kuna...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  11. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa siku hizi mapenzi ni expensive?

    Happy new year wakuu, Hivi ni kweli kuwa sikuizi mapenzi ni expensive au tunatishana tu? Tokea nijiunge JF sikuizi naogopa hata kusimamisha manzi njiani nikiwa sina hela, maana humu story ni kuwa madem wote wanataka pesa pesa pesa sio maneno wala muonekano tena. Saivi naskia kupata Dem msafi...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

    Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi. Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

    Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
  14. Sossi

    JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa. Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka kwa kupiga simu ya ma X!

    Habari, Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia tutafutane. Naogopa maana ni muda mno umepita sana na sasa kudanga ndo habari ya mjini. Vipi wewe...
  16. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke muongeaji sana anafaa kuolewa?

    Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
  17. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niote ninafanya mapenzi?

    Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma. Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia mchepuko. Nifanyeje ili nipate ndoto ya kugegeda usingizini? Nigegede papuchi hadi itself Moshi?
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  19. Story za nguate

    JamiiForums Tanzania Usikubali kulia milele

    Usiwe kama samaki atoae machozi baharini yakamezwa na maji ukajiona wewe ni nunda wa mapenzi. Maumivu ya mapenzi ni makubwa Sana Kaka/Dada hivyo yakupasa ufanye maamuzi magumu kwa nyakati ngumu. Kama unaishi kwa mateso na maumivu ukiamini atabadilika kesho na habadiliki ni Bora umuache aende na...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi fanyiwa jeuri au dharau na mpenzi anaedhani umedata na umahiri wake ndani ya 6x6?

    Salale Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa. Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
Back
Top Bottom