Burundi: Watu 24 washtakiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya Utoaji Elimu ya VVU/UKIMWI

Kwa mujibu wa Taarifa ya Polisi, baada ya upekuzi waliwakuta Watuhumiwa hao wakiwa na Mipira ya Kuzuia Maambukizi na Ujauzito ya Kike na Kiume (Kondomu), na baada ya mahojiano ya siku 10 waliwashtaki kwa Makosa hayo.

Mapema mwezi Machi 2023, Rais Evariste Ndayishimiye alitoa onyo kwa raia wa Nchi hiyo kukomeshana kutojihusisha na Vitendo vya Vinavyochochea au kuwa vya Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwemo kuagiza wanaobainika wafukuzwe Nchini humo.

============

A court in Burundi has charged 24 people for "homosexual practices" as authorities in the conservative East African nation crack down on same-sex relationships,” an anonymous judicial source told AFP on Thursday.

Burundi has criminalised homosexuality since 2009 with a prison sentence of up to two years if found guilty.

Burundian police arrested 17 men and seven women on February 23 ,2023, at a seminar in the country’s political capital Gitega hosted by MUCO Burundi, a non-profit organisation that focuses on HIV/Aids. This was after neighbours alerted the security officials to their presence.

Found with condoms​

Police said that the accused were found with condoms and on suspicion of homosexual practices.

"After interrogations which lasted about ten days, the 24 were charged with homosexual practices and incitement by the public prosecutor," Armel Niyongere, head of the human rights group ACAT Burundi, said late Wednesday.

Niyongere, currently in exile in Belgium, said they would be remanded in prison to await trial.

Earlier this month, Burundian President Evariste Ndayishimiye urged the country’s citizens to root out homosexuality.

"I ask all Burundians to curse those who indulge in homosexuality because God cannot bear it. They must be banished and treated as outsiders in our country," Ndayishimiye said in a speech.

Last month Burundian intelligence agents arrested five human rights activists, who were later charged with rebellion and undermining the country’s state security.

THE EASTAFRICAN
 
Ikiwezekana wafungwe kifungo cha maisha kabisa wasionekane uraiani
Ni solution?

na wezi wa mali za umma nao tuwafanyaje?

wanaotembea na wake za watu je.

wanaokula rushwa je? je siyokweli kwamba kwenye mitaa yetu tunawaita washua?

Tusihukumu
 
Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya Utoaji Elimu ya VVU/UKIMWI

Kwa mujibu wa Taarifa ya Polisi, baada ya upekuzi waliwakuta Watuhumiwa hao wakiwa na Mipira ya Kuzuia Maambukizi na Ujauzito ya Kike na Kiume (Kondomu), na baada ya mahojiano ya siku 10 waliwashtaki kwa Makosa hayo.

Mapema mwezi Machi 2023, Rais Evariste Ndayishimiye alitoa onyo kwa raia wa Nchi hiyo kukomeshana kutojihusisha na Vitendo vya Vinavyochochea au kuwa vya Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwemo kuagiza wanaobainika wafukuzwe Nchini humo.

============

A court in Burundi has charged 24 people for "homosexual practices" as authorities in the conservative East African nation crack down on same-sex relationships,” an anonymous judicial source told AFP on Thursday.

Burundi has criminalised homosexuality since 2009 with a prison sentence of up to two years if found guilty.

Burundian police arrested 17 men and seven women on February 23 ,2023, at a seminar in the country’s political capital Gitega hosted by MUCO Burundi, a non-profit organisation that focuses on HIV/Aids. This was after neighbours alerted the security officials to their presence.

Found with condoms​

Police said that the accused were found with condoms and on suspicion of homosexual practices.

"After interrogations which lasted about ten days, the 24 were charged with homosexual practices and incitement by the public prosecutor," Armel Niyongere, head of the human rights group ACAT Burundi, said late Wednesday.

Niyongere, currently in exile in Belgium, said they would be remanded in prison to await trial.

Earlier this month, Burundian President Evariste Ndayishimiye urged the country’s citizens to root out homosexuality.

"I ask all Burundians to curse those who indulge in homosexuality because God cannot bear it. They must be banished and treated as outsiders in our country," Ndayishimiye said in a speech.

Last month Burundian intelligence agents arrested five human rights activists, who were later charged with rebellion and undermining the country’s state security.

THE EASTAFRICAN
Kwahiyo hao watu hawaruhusiwi kufanya mapenzi? Na kwa nini hawaruhusiwi wakati wanafanya wao wenyewe?
 
hv siku zote walikuwa hawajui kuwa wana mashoga nchini mwao , bado afrika hatujakomaa kujitawala wenyewe
 
Back
Top Bottom