mapenzi

  1. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Changamoto 3 kubwa za mapenzi ya mbalimbali

    Mapenzi ya mbalimbali yanajumuisha; Mapenzi na mtu wa mbali na unapoishi (mkoa mwingine/ nchi nyingine). Mapenzi na mtu mtandaoni na hujawahi kukutana naye. Mapenzi na mtu ambaye ratiba zenu haziruhusu kukutana kwa muda mrefu. Kwenye mapenzi haya inabidi uwe makini, na ujue changamoto zake...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay, Kenya: Afariki wakati wakifanya mapenzi kichakani

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 37 anakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Milca (48) kufariki dunia wakati wakifanya mapenzi kichakani eneo la Mbita katika Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya. Tukio hilo limetokea jioni ya Jumapili ya Machi 19...
  3. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

    Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro?? Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna...
  4. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania THE MODERN WAR: Simulizi ya kijasusi mapenzi na upelelezi

    THE MODERN WAR (Vita ya kisasa) Sehemu ya.........01 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu...
  5. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Jamani Mapenzi haya dah, acha tu

    Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna. Bei Tsh.1.2b hiyo manunuzi tu. Bado Gharama ya kubomoa na kujenga Mjengo wa ghorofa 10, mpya wenye Maduka...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  7. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Je, upo kwenye ndoa lakini pia upo kwenye mapenzi na mtu mwingine?

    Kuwa na hisia kwa mtu mwingine wakati upo katika ndoa ni jambo la kawaida sana. Hili sio jambo la kimungu, bali ni jambo la kibinadamu. Kukataa hisia zetu ni sawa na kukataa ubinadamu wetu. Huwezi kuacha kupenda watu wengine kisa eti kwa sababu tu upo katika ndoa. Kwa kawaida kila mwanamke...
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ufanye pale unapofikwa na dhahama kwenye mapenzi (mapenzi chechefu)?

    Wasalaam wana JF Hakika maumivu ya mapenzi ni magumu sana, hayasikii pain killers, pombe, bangi, maombi na ata ushauri (nasihi). Wapo waliopoteza maisha au kupoteza muelekeo katika maisha waliyoyapoteza. Jambo hili ulione na kulisikia kwa wenzio, usiombe likukute. Pamoja na magumu na machungu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

    Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
  10. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Shairi: Mapenzi pasipo pesa

    MAPENZI BWANA NI PESA Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena, Ukiwa na nyingi pesa, tapendwa na wasichana, Macho kwako tapepesa, hela wakishaziona, Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena. Babu wa myaka tisini, apendwa na wasichana, Unajua ni kwanini, waulizwe wasichana, Pesa...
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa kubalini jambo moja; mnaweza kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hamuwezi kukaa bila kuwa na mwanaume

    Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau. Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua kuachana na waume zenu kwasababu tu mnacho kipato inawatesa sana baada ya muda. Nimeumia sana kuona...
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Sina hamu na Mapenzi

    Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena. Na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairi asije namwambia nimepata...
  13. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

    Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika makala "Kwanini tufanye tendo na kwanini tusifanye tendo." Kupitia makala hii, nataka watu waelewe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

    Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burundi: Watu 24 washtakiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja

    Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya Utoaji Elimu ya VVU/UKIMWI Kwa mujibu wa Taarifa ya Polisi, baada ya upekuzi waliwakuta Watuhumiwa hao...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Nehemia: Acheni Kujihusisha na Mahusiano ya Mapenzi katika Umri Mdogo

    Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Singida Matha Gwau amesema; "Tunamshukuru Mama Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujengea shule nzuri zenye miundombinu mizuri inayowawezesha watoto wa kike kupata elimu; Hivyo niwaombe sana wadogo zangu, watoto wangu msome kwa bidii...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

    Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji. --- Pia soma - BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali...
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Imani zinazowafanya wanaume wengi waamini watapata na kudumisha mapenzi kirahisi lakini sio kweli

    Asilimia kubwa ya wanaume hufikiri hivyo, hata mimi kuna kipindi nilikua naamini hivyo lakini sikupata matokeo ninayotaka. Japo vingine ni muhimu lakini ili kudumisha mahusiano, usivitegemee hivyo pekee. Kama unaamini hivyo, na matokeo unayopata kwenye mahusiano yako hayakuridhishi, badilisha...
  19. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania 10 Reasons why you should not marry while you are still young

    There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age. Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed Marrying young can be problematic because there are many possible obstacles and traps. Before deciding to...
Back
Top Bottom