Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,423
4,730
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?

Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani.

Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
 
Unakumbuka yule jamaa wa mwanza alimpiga risazi 7 za kichwa yule mrembo.

Kama mwanaume yupo serious anakuhudumia kila kitu huwa tunaumia sana mkicheat. Ila kama anapita tu hana mda na wewe anajua una jamaa mwingine wala sio ishu mkikutana chocho we p8ta kulia na mm napita kushoto tutaonana tena tukihitajiana
 
Back
Top Bottom