mapenzi

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

    Wasalaam JF, Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi. Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri yake. Tuwasifie na wanaotupokea vijiti upele. Wameupiga mwingi. Wadiz
  2. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

    Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha. Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
  3. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayauzwi

    Tambua kuna NGONO NA MAPENZI ukielewa hivo utagundua kuwa vijana wengi wanapewa ngono wakidhani ndo mapenzi maana kila siku misemo yao (Tafuta hela) Malaya ndo muhitaji wa pesa kila kukicha kozi anashindana.. ila mke uliyemuoa hawezi kuwa na matumiz kama ya malaya so naeleweka nadhani. Mapenzi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

    HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI. Anaandika, Robert Heriel Asome kuanzia mwenye miaka 18. Nakupa Tips chache tuu. Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia. Hata twende Sawa! 1. Tawala presha na Mzunguko wa damu kwenye Uume. Tayari upo na mwenzi wako kitandani...
  5. zaza777

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke (mchumba)

    Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka. Karibu inbox...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bado kuna wanaopigana sababu ya mapenzi?

    Siku moja kuna jamaa, si rafiki yangu lakini tulikuwa tu afahamiana nae, amekuja na story kuwa alikuwa amevutiwa na msichana niliyekuwa natoka nae. Sikufahamu dhamira yake ila nilimjibu tu, "ongeza jitihada, unaweza kumpata"! Upande mmoja nawaza labda nilikosea, ningemwambia aache fikra zake kwa...
  7. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye pesa ndio wenye mapenzi ya kweli

    Hapa povu ruksa Ila Kila mtu anauhuru wa kutoa maoni bila kulazimishwa. Kutokana na experience yangu nazani hayo Ni maoni yangu mwenye mtazamo tofauti njoo weka hoja hazarani
  8. chillo clan conscious

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Valentine’s Day

    Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana ambayo hayafai katika ulimwengu huu na hata ulimwengu usio kuwepo. Jana nimeona watu wakitoka na...
  9. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake. Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Valentine ni siku ya kulana kimasihara

    Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko. Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanao🥰😘😘😘

    😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  12. SPACE CADET

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  13. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Wasikilize, lakini usipokee ushauri wa wanawake kuhusu wanawake

    Wanawake ni wazoefu wa kuwa wanawake lakini hawana uzoefu juu ya jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke mwingine kimapenzi. Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kitu haswa kinachomvutia kwa mwanaume aliyenaye, ni wachache wanaoweza kuweka hisia zao kwenye maneno yanayoeleweka. Japo unaweza...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

    Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
  15. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini mwanamke amekuchunia na kukupotezea ghafla pamoja na suluhisho la jambo hilo

    Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto. Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watu sahihi kwenye mapenzi nao wana akili wakati wa kuja wana kuja na wakati wa kuondoka ukifika wanaondoka pia

    Salaam JF Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez wanaopita kama mwewe. Uhuru ni wako na Akili ni yako pia. Chagua wewe wakati hausubiri ila akili pungufu...
  17. Silivian

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  18. MzeeKipusa

    JamiiForums Tanzania Ifahamu siri ya kubwa ya ndoa

    Hamjambo wanangu? Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini? Anyways, kutembea kwingi kuona mengi. Sasa nisikilizeni wanangu na wajukuu zangu; mwanamke katika ndoa anahitaji...
  19. Memtata

    JamiiForums Tanzania Huruma ya mapenzi inaniponza

    Ushawahi kusoma kisa changu cha mrembo Joyce? Sasa leo yananikuta sababu ya huruma yangu. Joyce bana niliendeleza uhusiano nae, amenieleza shida zake nyingi na kujutia aliyowahi kuyafanya na kusema sasa anataka kutulia, mimi nikajifanya baba huruma nikamwambia usijali mama nitakusaidia kadri ya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Afungwa miaka 30 kwa kufanya mapenzi na mtoto wake

    MAHAKAMA ya Wilaya Mpanda, imemuhukumu Agustino Michese (59) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Mpanda Rebeka Mwalusako amesema mtuhumiwa alitenda...
Back
Top Bottom