mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Women first ndo sababu ya Samia kutufokea

    Haya mambo ya Women first ndo sababu ya Samia Suluhu kutufokea. Walisema tuwawezeshe. Lakini baada ya kuwawezesha wametugeuka. Wanatubananga na kutubalagaza. Ni wakati wa wanaume kujitambua na kujitetea.. Hawa wanawake wanatutoa roho. Mtu anatoka kizi. Kizimkazi huko siju Makunduchi anakuja...
  2. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Ilitabiriwa kuwa atafanya mambo ya Kitoto

    GTs, Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can you imagine First Class ya Economic inasema eti walihongwa hela na inasadiki. Kwa ujumla katiba yetu...
  3. ISO M.CodD

    JamiiForums Tanzania Fact Check: Anaposema "hata huko yanatokea" anamaanisha mambo gani yanatokea wapi?

    Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu. Are we not comparing apples to oranges? Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi katika mazingira sawa na yaliyotokea Tanzania? Na je, uwajibikaji baada ya matukio hayo unafanana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaojua mambo ya kiroho, hayupo sawa

    Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo kama haya maridhiano yatapatikana? Au wamechukia Lissu katajwa na Bunge la EU?

    Hawataki kabisa Lissu atembelewe na makada wa CHADEMA
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanafikirisha

    https://twitter.com/zoomafrika1/status/1994862038506770487?t=V_qoOnNQgqWPKW4hDFq9qw&s=19
  8. Babumawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa Kaskazini na mambo ya kung'atana kitandani. Kwanini msijifunze kwa mademu wa Pwani?

    Hii michezo sasa inatosha Ukitazama miili yetu kama tumetoka guantanamo inavyochakaa kwa meno, hasa nyie wadada wa mikoa ya kaskazini kule moshi, arusha n.k Kwanini mtumie meno mnapofikishwaga kileleni aisee hayo si mambo ya kivampaya sasa na hapo ukishakula jino ukimsogeza kidogo bado...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Vijana waachane na Nanauka, kama anahitaji kusikia kero za Genz asubiri D9 Mambo yote yatawekwa hadharani

    GT Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda. Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS..... Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 9D hatufiki, mambo yatakwisha mapema tu

    Hayo mambo ya Kuandamana Kwa mabango na wahuni wanakuja na machine za moto kuuwa Watanganyika, hilo halipo na wazalendo hawataliruhusu Hakuna haja ya kusubiria 9D Muda wa Maneno imekwisha Sasa ni vitendo
  12. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo yanayofurahisha, Wewe unajuana na nani?

    Katika pitapita za mtu mweusi, tunakubali uongozi ni kipawa kwa maana usmart na kushawishi watu Lakini kweli kwa namna hii mawe yanahitaji kugeuzwa
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mambo viongozi wa Dini mnahitaji kupuuzwa na kudharauliwa, ni uchonganishi wenu wa kidini

    Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu Tutawapuuza na tumewapuuza Hamuwezi...
  15. Twilumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  19. Quimica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea. Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taifa tunalipoteza hivihivi kwa kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi

    Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana...
Back
Top Bottom