Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 824
- 1,633
Leo nimekaa nikawaza hivi najiamulia mambo au naamuliwa sababu toka utoto naamuliwa mambo hata wakati nasoma kwenda kukojoa, kula, kucheza tulisubili kengele nilivyomaliza shule nimekuja kujua ugumu wa kujiamulia mambo kinachofata ni kuiga yale wengine wanafanya ndo nikajua kumbe bado naamuliwa mambo.
WEWE JE UNAAMULIWA MAMBO AU UNAJIAMULIA KAMA UNAJIAMULIA UMEJIAMULIAJE?
WEWE JE UNAAMULIWA MAMBO AU UNAJIAMULIA KAMA UNAJIAMULIA UMEJIAMULIAJE?