mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya kabla ya kukopa

    Kabla ya kuchukua mkopo, lazima utathmini uwezo wako wa kulipa, uelewe gharama ya jumla (riba na ada), uangalie alama yako ya mkopo, na uhakikishe una lengo wazi la fedha hizo.. Vitendo muhimu ni pamoja na kuunda bajeti kali kwa malipo ya kila mwezi, kulinganisha wakopeshaji wengi, na kuchunguza...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hamna akili msiwe wabishi. Kila kukicha wanaharakati wenu wajinga wanazusha mambo halafu mnataka serikali itoe majibu

    Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo. Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze. Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi. Anatokea...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania 7 mistakes to avoid when God starts blessing you

    7 MISTAKES TO AVOID WHEN GOD STARTS BLESSING YOU 👇👇👇👇👇👇👇 When God begins to bless a person, the real test is not poverty anymore… the real test becomes how you handle abundance. Many people prayed for elevation, but few are prepared for what comes after it. Because blessings can open doors —...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu yanayotokea Kanda ya Ziwa tu

    Kanda ya ziwa ni moja ya kanda ya ajabu kuwahi kuwepo kwenye nchi hii leo humu jukwaani kuna mdau amelalamikiwa jinsi ambapo TFS kanda ya ziwa inavyowanyanyasa na kutowajali kwa mambo haya kanda ya ziwa ni kawaida sana aisee Kanda ya ziwa ni kanda ambapo mauaji ya Albino na vikongwe...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  7. Mgaratia Wa bongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si uungwana kuzungumzia mambo ya uzinzi mbele ya Mke wa rafiki yako

    Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi. Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa...
  8. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mambo ya maana V/S mambo ya utee, baba utee

    Kwa tafiti ndogo niliyofanya, Kimsingi kila ninapouliza mambo ya maana ni wachache sana angalau watachangia, LAKINI NItakapoulizia mambo ya kipuuzi kama Misambwanda na ute ute...lahaula wanamiminika watu lukuki kutoka sehemu zisizojulikana. HILI NI TATIZO KWA AFYA YA MAENDELEO. NB EPSTEIN VP?
  9. haszu

    JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
  10. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri Gani kati ya shanga na mambo ya Kiganga?

    Habari wakuu? Tukiachana na hizi shanga wanazo vaa dada zetu mama zetu au mabinti zetu Sijui na Sina hakika kama ni ulembo tu au Kuna mambo mengine ya ziada nyuma za shanga hizo lakini sizi zungumzii hizo shanga hapana Nime shuhudia waganga wakienyeji wakiingia kwenye majumba ya watu wakitoa...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Kampuni ya ulinzi ya G4S uangalie maslahi ya Wafanyakazi kuna mambo hayapo sawa

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi. Tumewekewa chini ya 480k na...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Gerezani siyo sehemu ya adhabu tu, ni sehemu ya uzalishaji

    Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

    Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Paresso: Rais Samia ana siku 90 yuko ofisini takribani mambo 10 aliyoahidi watanzania anaenda kuyatimiza

    Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza kuzitekeleza ikiwemo mpango wa bima ya afya kwa wote na mikopo kwa wajasiriamali. Akizungumza Februari 2...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya tusiamshane uchaguzi asubuhi, wekeni mchana mpaka jioni

    Majuzi nilichoka kabisa niliposikia mb mmoja anaongelea pilau bungen kisa ufunguzi wa meli Akitoa pt zake anasisitiza atuwezi wapa maji wananchi kwa uzinduzi wa meli ya gharama kama ile Akashauri kuwepo na ugali na wali pilau na nyati za kutosha Alijua kunachinjwa nyati zaidi ya 20 Aisee...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yanawachanganya sana watu kiroho. Call (Wito) Destiny (hatma ) na fate

    Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi 1 .Call , (Wito 2. Fate 3 . Destiny (Hatima) Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua. Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa kwenye...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

    Hii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayai🤣 Miaka hio tunaulizana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangalia😬 Miaka 2000 ndio ilikuwa golden age ya burudani na media katika nchi hii Between 2000 hadi 2009 taifa...
Back
Top Bottom