Atakayewaomba msamaha Chadema nani? Kwa lipi la kuombwa msamaha? CCM na Serikali yake ninayoijua Mimi sidhani kama wanaweza kufikiria kufanya huo ujinga. SIDHANI!Chadema shikilia hapo hapo kama Iran pale Homz.
Kusikilizwa kabla ya makubaliano ndio jambo la msingi.
Mioyo ya wanachadema imejaa makovu waombwe msamaha kwanza ndipo wahitajike .
Toa boriti kwenye mboni yako kwanza .
Tulia wewe mtoto wa shule..Atakayewaomba msamaha Chadema nani? Kwa lipi la kuombwa msamaha? CCM na Serikali yake ninayoijua Mimi sidhani kama wanaweza kufikiria kufanya huo ujinga. SIDHANI!
Ungelikuwa na uelewa kidogo na nilichouliza, ungelijibu.Tulia wewe mtoto wa shule..
Mtoto wa shule yako ni sare na ufagio.. haya mambo huwezi kuelewaUngelikuwa na uelewa kidogo na nilichouliza, ungelijibu.
Kwa anayesoma comments zangu na zako anaweza kusema nani mtoto kati yetu? Ahahahahaha!!Mtoto wa shule yako ni sare na ufagio.. haya mambo huwezi kuelewa