The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana...
Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama ungekuwa na jicho la tatu la udadisi.
Leo nitatoa list ya mambo kadhaa yaliyotokea kabla tu ya...
Hamjambo!
Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo.
Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
Tanzania
Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe
Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe.
Ujumbe wa maandamano hayo...
Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
Wewe Kombo, unawasiliana na Mataifa ya Nje na wawakilishi kama nani?
Kwa mujibu wa Katiba hii hii muda wako wa Uwaziri umekoma jana siku ya Uchaguzi na sasa wewe ni raia wa kawaida tu
JWTZ tunaomba mumuweke ndani huyu mshenzi fisadi ndugu yake na Samia Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo.
Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).
Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.
29...
Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi
2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani
3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe
4. Muziki unaoupenda unausikia ukiwa kwenye lifti ama kwenye gari lako ukienda na kutoka...
KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU.
Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli
1. Kuendekeza mambo ya dini.
Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni kugusa tuu.
2. Kuendekeza Siasa.
Mara moja moja sio mbaya kama kuna ishu muhimu lakini sio kila...
Najua kwa asilimia kubwa viongozi wa asili na mila wa sasa ni wanafiki na waongo na ndiyo maana ni "double agents" wa serikali kwa maana kwamba anaendesha shughuli za asili na mila na wakati huohuo ni muumini wa ukristo na uislam,huu ni ukichaa!!
Niwaombe kama kweli mnauwezo na kuamini ktk...
Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza?
NB: Afande Tesha ametumika...
Mmefanya hila dhidi yake na kumuweka ndani kwa mambo ya kubumba bumba. Pasipo kujua au kujua kuendelea mshikiloa mnazidisha moto na ghadhabu, ilahali na nyie mda wenu wa kukaa ndani unajongea na ikiwezekana kunyongwa kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.