The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua.
2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu nguvukazi na maadili. Kodi kubwa ziongezwe huko ili kuwakatisha tamaa wawekezaji kwenye hayo mambo ya...
MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake, sio katika Uchapakazi wake, sio katika uhodari na ujasiri wake.
2. Ishara za mwanzoni ukitaka ujue...
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili!
Hivi changamoto hasa...
1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili, jambo hili linajidhihirisha kupitia matukio yasiyoelezeka ya vifo vya ghafla au ajali mfululizo...
"Maandamano ya kweli, watu wa Moshi, ni maandamano ya kutafuta pesa na uchumi! Andamana kuuza duka kikamilifu upate hela. Endesha bodaboda, andamana asubuhi mpaka usiku upate pesa. Andamana kulima na kufuga, uza upate pesa! Hata ukirudi nyumbani, mke wako anakupokea kwa heshima: 'Baba karibu...
Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa).
Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata choko choko ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai kwenye mfumo unampotezea.
Watu mlioajiriwa maofisini jitahidini muwe na Emotional intelligence...
Habari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia.
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027.
Matumizi ya Kawaida: Shilingi trilioni 1.95 sawa na asilimia 80% zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida...
👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa.
👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine.
👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.