The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Majungu
Fitina
wizi
Uongo
Utapeli
kupata na kukosa
ukiwa na roho ndogo una-give up mapema sana
#Wapambanaji wote msio kaa kwa shemeji zenu mnatoka asubuhi ghetto kwenda harakati big up sana.
El Niño na maandalizi ya mvua kubwa
Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja.
Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji.
Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika.
Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula...
Kuna watu wanataka kupandia juu kwa kutumia ngazi ya vurugu za Oct29 kupata Katiba mpya.
Chanzo halisi cha vurugu za Oct29 ni kifo cha Rais Magufuli na ujio wa Rais SAMIA madarakani. Nyingine hizi zoote ni mbwembwe za kutumia fursa za vurugu na vifo vilivyotokea.
Kama JMP angekuwahai...
HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana?
HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe
Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma?
Ooh...
UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA
UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52.
Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 678 za Kitanzania.
Matenki haya yatafanya jumla ya Ukubwa wa Cubic Meter 389000 sawa na Lita...
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂
2. Kupika dagaa wana vichwa..
3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa...
Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana.
Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana
So , mambo yapo kama hivyo
Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893).
Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School).
Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza, Tanga (1848).
Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani – Ubwari, Muheza, Tanga (1949).
Hospitali...
1)Elewa ukomo wa fikra,
Ni mambo mengi yanajiri katika maisha yetu, Si yote tunauwezo wa kuyadhibiti tupendavyo katika uhalisia.
Lakini fikra zetu zimebeba vita kubwa ambazo mikono yetu haiwezi pigana.
Hali hii imejaza ukungu katika mawazo yetu ambapo hutufanya tuteseke kimawazo na kihisia...
Mtandao na internet
Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet
Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila
Barabara na uchukuzi
Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida.
Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
Niliwahi kupata ufumbuzi juu ya haya mawe,lakini kwa bahati mbaya sikumaliza elimu kutoka kwa aliyekuwa akinipatia.
Je,wajuzi wana nini cha kusema kuhusu mawe haya?
Cc: Seran Mshana Jr Rakims
Familia ambayo nilitokea haikuwa ni familia yenye uwezo, nakumbuka baba yangu alistaafu akiwa na miaka 40s na kipindi hicho nilikuwa mtoto wa miaka 10 hivi.
Maisha hayakuwa rahisi kipindi hicho mama alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi, kwa kweli tulipitia kipindi kigumu cha...
HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI, KAMA YATAKUFAA BASI KARIBU, KAMA UTAONA BATILI, THEN LIVE YOUR LIFE
1: Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. Maombi na swalah ni njia za kujifariji ila sio za kumuokoa mnyonge au kubadili mwelekeo wako
2: Hakuna utajiri kwa mganga. Utaishia...
Habari za ijumaa!
Leo sina mambo mengi.
Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa;
a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM
Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.