Tujadili mambo ya msingi

Tujadili mambo ya msingi

Biashara nayo ni kama betting tu
Ila changamoto hasa ni taarifa sahihi lakini pia kuchoka na kukataa tamaa kabla ya kuanza ukijumuisha na kuamini ile kauli ya wazee wa wazamani wanywaaa gahawa ya kusema kama ipo ipo tu itakufata popote na ile kila mtu na ridhiki yake inadumaza sana watu tunaielewa kwa upande mmoja tu
 
Je tumejaribu kutafuta taarifa sahihi?
 
Through experience, mtu mweusi ana shida kubwa sana ya kufanya decisions on emotions! Kwa experience tunapenda sana kuwekeza au kufanya vitu kule tunapoamini tunajulikana, tulipokulia, tutakapowagusa tulioishi nao au tuliosoma nao! Mzaliwa wa Mwanza hata km anaishi Dar atapenda awekeze Mwanza, na anayeishi Ulaya atapenda awekeze Tz na hata kama kuna opportunity za wazi kbs Ulaya...

Emotional attachment na tulipozaliwa au ndugu zetu na marafiki walipo na EQ inatusumbua sana na tunachelewa sana kujua ni tatizo tunaloweza kulitatua!
 
Through experience, mtu mweusi ana shida kubwa sana ya kufanya decisions on emotions! Kwa experience tunapenda sana kuwekeza au kufanya vitu kule tunapoamini tunajulikana, tulipokulia, tutakapowagusa tulioishi nao au tuliosoma nao! Mzaliwa wa Mwanza hata km anaishi Dar atapenda awekeze Mwanza, na anayeishi Ulaya atapenda awekeze Tz na hata kama kuna opportunity za wazi kbs Ulaya...

Emotional attachment na EQ inatusumbua sana na tunachelewa sana kujua ni tatizo tunaloweza kulitatua!
Hii inatokana na nini? Je ni sawa na kusema watu weupe wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mtu mweusi?
 
Back
Top Bottom