mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yana chekesha sana ;Iran ya sasa iwezi kutanganza wala kuonesha huyu ni kiongozi wa sasa.

    Tumeshuudia kila kiongozi wa iran aliwahishwa haraka kupokea mabikra 72. Kwa sasa nchi ya irani inaogopa hata kutangaza huyu ni kiongozi gani maana kwa mashambulizi wanayo pokea mpaka nyumbani kwao na familia zao wameona kuishi kwa mtindo giza.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mambo ya kupoteza makamanda wa CHADEMA yataisha lini?

    Huyu naye inasakiwa amepotezwa. 👇 Julius Mbalile Erick (pichani), alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Murongo Jimbo la Kyerwa mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA, Anatropia Theonest ambayo imetolewa leo, Julius Mbalile Erick alitekwa na kupotea katika...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kuchochea tatizo la kuzidi kwa acid tumboni

    1.��️ Uvutaji wa sigara 2.��️ Unywaji wa pombe 3.��️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk 4.��️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa 5.��️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana. 6.�� Kutumia baadhi ya Madawa...
  4. venchwa

    JamiiForums Tanzania Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

    Yaan leo aliyekaa nyuma yangu hapa ni Yale mambo Nataka Mimi nyama nyingiiiiiii mchuzi kwa mbaaaaliiii Toto limeshanijoin ***** linaagiza tu now ni 340$ kabisa Dadek
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

    Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo: 1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nimempa wife talaka kwa sababu kila akiongea anasema, "ushanifahamu ehh", sitaki mambo ya Jose Mara effect!

    Yaani Kila akiongea chochote utasikia anasema, "ushanifahamu ehh". Aende kwa huyo Jose Mara aliyemuiga. Nyambafu! 😎 Al-mukheef, adriz de mbusii.
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotumia dawa za magonjwa ya mfumo wa mkojo na sehemu za uzazi kama UTI, kisonono (gonorrhea) na kaswende (syphil

    . Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC Iran; yajibu mashambulizi yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. 🔹 Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  10. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Bongo mambo mengi sana

  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, Ndoto Zinazoonyesha Mambo Yajayo Ni Kazi ya Ubongo au Ulimwengu wa Roho?

    Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi? Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana? Au tuseme ndoto huwa ni dunia...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Katoka Leo kuendelea na Mikutano ya kisiasa? Baada la Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  16. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania RITA Nkasi(Namanyere) KWANINI MNA MAMBO MENGI HIVI?

    Habari za mida hii? Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA) Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli kwa mambo yanavyoenda Baba au Mama yako anaweza shindwa kuwa Rais wa Tanzania? Kwa kigezo cha Uwezo wa Tuliyenaye sasa

    Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais? Maana zamNi cheo cha Urais was a...
  18. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Haya mambo mambo gani na mimi niyajue nikonde?

    "Haya mambo ya nchi hii ukiyajua unaweza kufa kwa presha ndo maana mimi nakonda kila siku, kwasababu unawaangalia unasema hawa ni banadamu wa kawaida au wamelogwa alafu unakuta kamtu kanakonyonywa na wachache wenye nchi anashangilia mimi ni CCM unashangilia hapa ili matajiri wachache wafaidike "...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha tuache mambo ya kibaguzi na kikabila

    Ninaandika hii post kwa masikitiko na hasira baada ya kusoma mtandaoni post za mwandishi maarufu kwa jina la Zungu kutokea mkoani Arusha. Kwenye machapisho yake kaonekana kukerwa na kumshambulia mtu mwingine anayetumia jina la MATEJOO kwenye utambulisho wake, wenyewe wanasema kuji-brand...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
Back
Top Bottom