Ukiwa na Emotional intelligence utayashinda mambo mengi

Ukiwa na Emotional intelligence utayashinda mambo mengi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,429
Reaction score
5,911
Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata choko choko ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai kwenye mfumo unampotezea.

Watu mlioajiriwa maofisini jitahidini muwe na Emotional intelligence mtavuka mambo mengi
 
Emotional intelligence ni nzuri ila isiwe sababu ya mtu kuonekana hana reaction kabisa. Kuna watu wakiona unanyamaza kila mara wanaanza kukupima na kukuzoea vibaya. Sio kila kitu ni kupotezea, vingine ni kuweka boundaries na respect mapema.
 
Back
Top Bottom