malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa

    Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
  2. safuher

    JamiiForums Tanzania Usifuate wala kuyaamini malengo ambayo ulijiwekea utotoni

    Wakati wa utoto wetu kila mmoja akiulizwa una malengo ya kuwa nani basi atajibu mwalimu,daktari au mtu fulani. Malengo yale ni upuuzi mtupu na wala hatutakiwi kuyazingatia kwa sababu malengo yale ni utumwa ambao tujilijapndikizia katika akili zetu. Tuliyachagua malengo yale kwa sababu ndio...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams

    "During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams" - Tupac. NDOA ni chanzo kimoja wapo kilichochangia kiasi kikubwa cha kutokomeza kama sio kuua kabisa ndoto za watu wengi katika jamii. Watu walikuwa na malengo na kumiliki biashara kubwa, kuwa wanasheria mashughuli na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu yenye malengo haipeleki kikosi kabambe Mapinduzi Cup

    Mashindano ni mengi sana kwa wachezaji walewale. Ligi, FA, CECAFA, Caf champions, AFCON na mechi za kirafiki zote hizi ni muhimu na zina uwezo wa kuzalisha majeruhi kwenye timu yako. Haya mashindano ya Mapinduzi ni muhimu sana kisiasa lakini ratiba yake inaning'inia tu na malengo yake ni hadi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

    Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda". Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha...
  7. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo; 1. Kusajili Kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and article of...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Sina adui, nipo humu JF kwa malengo

    Habari, Naomba niliweke wazi hili jambo ili baadhi ya watu wasinifikirie vibaya. Mimi silipwi kuwa humu JF na wala hakuna kitu ninachokipata zaidi ya Habari na Burudani kutoka kwa Wadau tofauti. Naomba sana isije siku ukanichukia, maana nitakushangaza kwa ku-comment vizuri na kulike post zako...
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Je Biashara Yako Ilifikia Malengo 2023? Jipime kwa hii Sheet BURE

    Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi). Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online)...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Putin asema vita haitaisha hadi hapo malengo ya Russia yatakapotimizwa

    Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Malengo ya Nusu fainali unaburuza mkia na point 2 klabu bingwa

    Nimekuta watu wanajadili kuhusu malengo ya Nusu fainali na Kuwa na point mbili nadhani watakiwa wanaizungumzia Klabu ya Union Berlin ya ujerumani ambayo imeshika mkia kundi C linaloongozwa na Real Madrid. Nb. Zile kelele za Yanga ya mwisho Kwenye kundi Ina point 2 Bado zipo huko kwenu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tuelezane; Mwaka 2024 una malengo gani umepanga kutimiza

    Well, Hopefully kila mtu yuko sawa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, funguka malengo yako uliyopanga kutimiza mwakani ili upate kujua wenzako wana maoni na ushauri gani kukuwezesha kufanikisha swala lako. Kumbuka, wanaotaka kwenda mbali wanakwenda pamoja.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga asema “Pikipiki zilizokabidhiwa Polisi zitumike kwa malengo yaliyowekwa”

    Wakaguzi wa Kata nane wa Mkoa wa Mbeya wamekabidhiwa Pikipiki aina ya Boxer kwa ajili ya kurahisisha na kufanikisha utekelezaji wa majukumu yao katika Kata zao. Akizungumza wakati wa kukabidhi Pikipiki hizo katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Disemba 03, 2023 katika Uwanja wa FFU Mbeya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
  15. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora. Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA badili malengo ya Azam sports club

    Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri. Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji. Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

    Katika mazungumzo yake na chansela wa Ujerumani muda mfupi uliopita, Raisi El Sisi wa Misri amesema hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kuruhusu wapalestina kutoka Gaza waingie nchini humo kama wakimbizi. Akasema hilo inaonekana kama ndio lengo la Israel ilipowataka warudi kusini mpakani na nchi...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Uwe makini ujipende uwe na misimamo na malengo kuna siku rafiki uliemuamini atakukimbia akipata njia ya maisha

    Binadamu ni kiumbe mwenye hila, uongo, unafiki, ubinafsi, rafiki ulienza nae sie utakaemaliza nae kuna siku atakusaliti, kuna siku ataacha kuwa rafiki akipata njia nzuri ya maisha kukuzidi au kulingana na wewe na hutaamini, kuna mtu uko nae karibu unamuona rafiki kumbe ni adui yako na mshindani...
  19. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa akaunti za mitandao ya kijamii: Je, zinakidhi malengo ya soko la mnunuaji?

    Watu wengi, taasisi, na makampuni wanazidi kuhamishia shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii kila siku. Lakini kujiunga na majukwaa hayo na kukuza akaunti kutoka wafuatiliaji 0 hadi, labda tuseme 10,000, inahitaji jitihada na muda mwingi, na hilo limeacha watu wengi wakijiuliza, "je, naweza...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake na malengo yake yaangushwe

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa...
Back
Top Bottom