malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. yunus75

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo.
  2. safuher

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu nitakayoyatimiza nikifikisha miaka 40

    Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana. Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume. Nyumba yangu iliyozungukwa na eneo lenye ukubwa wa hekari 1 na humo ndani nitakuwa nifanya maendeleo...
  3. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

  4. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yajitwisha mzingo mwengine wa malengo ya vita. Huu ni mzito zaidi kuliko ya Gaza

    Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo. Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi kwani wamewekwa kwenye maeneo kama hoteli kwa malipo ya serikali.Vile vile maeneo yaliyohamwa ni...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA yatoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa Umma kwa Wadau zaidi ya 1,000

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania NBC imenipotezea malengo yangu

    Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji ndani ya siku tano tu nitamalizia nikiwa na uhakika na hii bank hasa baada ya kuamini matangazo yao...
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Jiwekee Malengo yatakayokufanya uamke asubuhi kuyatimiza

    Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake. Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu. Hata Serikali huwa inasaidia pale ambapo wananchi wameonyesha nguvu zao hasa kwenye kata. Wewe umeonyesha nini au...
  9. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Blender3D: Tukutane Hapa kwa Malengo ya Pamoja!

    Natumai ujumbe huu unakukuta salama. Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc. Lengo ni ku organize ili ku achieve na kufikia malengo na kutimiza ndoto kupitia 3D. Natafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba

    ELIMU YA FEDHA: KUIBUA MABADILIKO YA KIFEDHA KIGOMA Na Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba, kupanga matumizi, na kudhibiti deni, ili kuepuka changamoto za kifedha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kufikia malengo ya melinia

    NAMNA YA KUFIKIA MALENGO YA MAENDELEO YA MILENIA Malengo ya maendeleo ya milenia ni seti ya malengo yanayolenga kuboresha maisha ya watu duniani kote.ingawa malengo yenyewe yamebadilishwa na malengo endelevu ya maendeleo (SDGs),bado tunaweza kujifunza na kuweka mikakati jengefu kufikia malengo...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  13. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga jengo la biashara Kinshasa

    Kwa wale ambavyo angalau ngeri inapanda hebu pitieni kidogo hicho kipande cha gazeti. === Serikali inaanza mradi kabambe wa kujenga majengo ya makazi, rasmi na biashara katika nchi kadhaa kwa lengo la kuongeza mapato kwa ajili ya Wizara ya Mambo ya Nje. Akiliomba Bunge kupitisha bajeti ya...
  14. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Fanya kwa kusudi na ongozwa na malengo ili kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
  15. hk20

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

    Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa. Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa kwa nini ujiwekee malengo yasiyowezekana kwenye maisha yako

    Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu. Malengo au lengo lisilowezekana katikati ya malengo yako litakusaidia kwanza wewe ubadilike ili litokee. Wewe kabla ya kutekeleza na...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

    Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

    Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani. Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaolia sana malengo yenu ilikua makundi robo ni kama bonasi

    Inashangaza kuona yanga wanalilia goli ambalo sio goli ,mpaka refa anyoshe kati ndio linakua goli. Pili kujitoa ufahamu wa kulilia nusu fainali ilihali mnajua viongozi wenu walishawatangazia malengo yenu ni kufika makundi hiyo robo ni kama bonasi hivyo mjue viongozi wakienda chooni hucheka peke...
Back
Top Bottom