Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,400
Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na NATO.
Putin atetea kugombea tena nafasi ya Uraisi.
Uchaguzi nchini Russia watarajiwa kufanyika mwezi March 2024.
Asema Uchumi wa Russia umekuwa imara wakati huu wa vita licha ya vikwazo vya Marekani na nchi za Magharibi.
Asema Counter Offensive ya Ukraine imefeli kila mahala.
Msemaji wa Kremlin bwana Dmitr Peskov amejiandaa kujibu masuali yapatayo milioni 1.2!