Sina adui, nipo humu JF kwa malengo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari,

Naomba niliweke wazi hili jambo ili baadhi ya watu wasinifikirie vibaya. Mimi silipwi kuwa humu JF na wala hakuna kitu ninachokipata zaidi ya Habari na Burudani kutoka kwa Wadau tofauti.

Naomba sana isije siku ukanichukia, maana nitakushangaza kwa ku-comment vizuri na kulike post zako.

NAWAPENDA SANA, NA WALA MIMI SINA TABIA YA DHARAU KWA MTU YOYOTE.

PEACE.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Tokyo Japan 🇯🇵
 
Kwani kuna wenye madui humu?

Basi hawajielewi.

Punguza kujitetea.
 
Wasalimie wastaarabu wa Japan
 
Kwani kuna wenye madui humu?

Basi hawajielewi.

Punguza kujitetea.
Nimeona kuna baadhi ya watu wananiangalia tofauti.

NAUMIA SANA NINAPOONA LENGO LANGU LA KUJA HUMU LINAPOKELEWA TOFAUTI NA BAADHI YA WATU.

Mkuu, ukiangalia vizuri sababu ya haya yote nimimi kuandika mabandiko yanayokataza kunyonyana Tupu. Sijawahi kutukanwa na mtu hapo kabla, ila nilipoanza kuandika mabandiko ya kutaja madhara ya kunyonyana tupu ndio nikaanza kutukanwa na kuchukiwa na watu.

SILIPWI NA JAMIIFORUMS, NATUMIA MUDA WANGU HUMU KUJIFUNZA NA KUINTERACT NA WATU BASI.

YOYOTE ANAENIANGALIA TOFAUTI NAOMBA UACHE, AU KAMA INAWEZEKANA NAKUOMBA SANA UNI-IGNORE.

SILIPWI HUMU.
 
Nimeona kuna baadhi ya watu wananiangalia tofauti.

NAUMIA SANA NINAPOONA LENGO LANGU LA KUJA HUMU LINAPOKELEWA TOFAUTI NA BAADHI YA WATU.

Mkuu, ukiangalia vizuri sababu ya haya yote nimimi kuandika mabandiko yanayokataza kunyonyana Tupu. Sijawahi kutukanwa na mtu hapo kabla, ila nilipoanza kuandika mabandiko ya kutaja madhara ya kunyonyana tupu ndio nikaanza kutukanwa na kichukiwa na watu.

Tumekuelewa sana Mjanja M1, lengo sio kutengeneza maadui.
 
🤣🤣kumbe chanzo cha kuchukiwa na baada ya kuwaeleza madhara ya kunyonya tupu..? dah binadamu wabaya unawapa msaada kwa faida yao wanakuchukia pole sana mkuu
 
Broo jana nimesoma comment yako moja ulisema upo SA leo upo Tokyo, No broo kuna jambo halipo sawa, una mabawa ya mwewe??
Namiliki page kubwa ya vichekesho.

Nimekuwa naishi ulimwengu wa matani na masihala kwa muda mrefu sana Mkuu.

Ukiniona napost kitu chochote tambua kuwa lengo langu ni kukufurahisha na kukuchekesha.

Hayo maneno ya "Mjanja M1 kwasasa napatikana " ni maneno niliyaona Mtibeli akiyatumia, kwahyo namimi nikayaiga ila kwa kuyaongezea utani wa maeneo Makubwa na maarufu Ulimwenguni.
 
Namiliki page kubwa ya vichekesho.

Nimekuwa naishi ulimwengu wa matani na masihala kwa muda mrefu sana Mkuu.

Ukiniona napost kitu chochote tambua kuwa lengo langu ni kukufurahisha na kukuchekesha.

Hayo maneno ya "Mjanja M1 kwasasa napatikana " ni maneno niliyanona Mtibeli akiyatumia, kwahyo namimi nikayaiga ila kwa kuyaongezea utani wa maeneo Makubwa na maarufu Ulimwenguni.
I appreciate that, appreciate that.
 
Malengo yako ya Kuwepo hapa jf ni nini?
Kupata Habari na kufurahi na watu.

Shida ya kuona nachukiwa ilianza nilipoandika mabandiko ya kukemea Unyonyaji wa sehemu za siri.

NAAPA.! Sijawahi kutukanwa hapo kabla, nilipoanza kuandika mabandiko ya kukemea Unyonyaji wa sehemu za siri ndio nikawa natukanwa sana.

Ni experience mbaya sana, sijawahi kuishi mazingira ya watu wenye matusi hapo kabla. Niliumia sana kutukanwa lakini jana nahisi kuna shetani alinipata nikashindwa kujizuia pindi nilipotukanwa na mdau mmoja humu, aliniambia maneno haya "Kama nipo free anataka kunipa 350k us dollars ili nifanywe mchezo wa sodoma".

Niliishiwa nguvu nilijikuta natetemeka kwasababu yule jamaa ni mtu ambae nilikuwa namuheshimu sana.

Nilishindwa kujizuia nikajikuta namtukana (KOSA NILIFANYA), niliona tusi halitoshi kwahyo nikamwambia nitatumia resources zote aombe mungu nisimjue sura yake maana nikimfahamu nitamfanya kitu kibaya.

TOO BAD! Nayeye akajibu kuwa nitaacha kilio.

Niliwazq mengi sana jana nikajilaumu kutamka yale maneno, lakini ilikuwa Too late.

Nikamfuata yule jamaa PM, japo nilimtukana nikaomba radhi.

SINA CHUKI NA MTU, ILA NAHISI KUNA SHIDA MAHALI KWENYE JAMII YETU KUHUSU HESHIMA KWA WENZETU.

Asante.

Ikitokea ukaona najibu mtu vibaya basi tambua kuwa huwa najirudi na kujutia sana.

PEACE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom