DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

Lord Lofa

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,359
2,315
012C56B5-3170-44B2-BF2B-2038816C5C2E.jpeg

Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa.

Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais.

Hapa busara haijatumika zaidi ya msukumo wa kisiasa na uchawa tu, fanyeni kazi ya Kuisaidia serikali kutatua kero kwa Wananchi ndipo mtawafurahisha wakubwa na wananchi pia sio kila nyakati mpambane kufanya vihoja vya kichawa chawa
 
Sipati picha angefukuzwa kazi ungekuja kuandika risala hapa
 
Ukisikia kumtishia mtu nyau, ndiyo hiyo sasa. Ningekuwa mimi, hiyo tarehe ya kuripoti nisingeenda! Halafu nione wangenifanya nini!

Au wanamvizia agome ili wampe kesi ya uhujumu uchumi na ubadhirifu kwenye hilo shamba la bibi la CWT, na wakati karibia serikali yenyewe yote imeoza kutokana na huo uhujumu uchumi na ufisadi uliokithiri!!
 
Sio lazima kila mtu akubali kazi za kutumwa na kushikiwa akili kama URC na UDC , mifumo ya kikoloni hiyo iliyoachwa inafuja pesa za umma tu.
 
Sasa
View attachment 2759551
Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa.

Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais.

Hapa busara haijatumika zaidi ya msukumo wa kisiasa na uchawa tu, fanyeni kazi ya Kuisaidia serikali kutatua kero kwa Wananchi ndipo mtawafurahisha wakubwa na wananchi pia sio kila nyakati mpambane kufanya vihoja vya kichawa chawa
Sasa unalia lia lia nini Mwalimu Maganga Japhet? Kwani ukiombwa lazima upewe? Wewe una wiki moja tu ya kukabidhi ofisi huko CWT na kuripoti Temeke ukafanye kazi uliyosomea, mwalimu wa somo la Maarifa darasa la 4.

Eti hapa unajiita Lord Lofa , imekula kwako Big time
 
Atakuwa alikula peke yake,wameamua kumnyoosha.
 
View attachment 2759551
Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa.

Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais.

Hapa busara haijatumika zaidi ya msukumo wa kisiasa na uchawa tu, fanyeni kazi ya Kuisaidia serikali kutatua kero kwa Wananchi ndipo mtawafurahisha wakubwa na wananchi pia sio kila nyakati mpambane kufanya vihoja vya kichawa chawa
Barua imeandikwa Kwa capital letters Mwanzo mwisho, sio Kwa hasira hizo
 
Back
Top Bottom