malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiafrika kupewa unafuu wa kulipa madeni bila mashariti,kuna hatari malengo yasitimiea na nafuu hiyo kutumika kutimiza vipaumbele vya watawala

    Nashauri nchi wahisani na taasisi za fedha za kimataifa kuja na mpango maalumu wa kuhakikisha unafuu wa kulipa madeni ulitolewa unakuwa na mashariti maalumu kwa nchi zote zilizopata unafuu huo. Nasema hivi kwasababu inawezekana kabisa kwa baadhi ya nchi zetu za kiafrika kutumia unafuu huo...
  2. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani ina maana gani? Chimbuko, Malengo na Kumbukumbu zisizosahaulika

    #TatuZaJumatatu SIKU YA WANAWAKE DUNIANI INA MAANA GANI | CHIMBUKO LAKE Mwaka 1908 kulitokea mtafaruku na mjadala mkubwa kuhusiana na wanawake ikumbukwe miaka hiyo kulikuwa na unyanyasaji na kutokutambulika kwa haki za wanawake hali iliyopekea wanawake kuanza kupaza sauti na kuendesha kampeni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala: Sekta ya utalii hatutafikia malengo ya mapato, itabidi tujipange upya virusi vya korona huko China vimetuangusha

    Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo. Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii...
  4. Mo makambako

    JamiiForums Tanzania Shairi: Walipoipata mali

    Walipo ipata mali, wakaingia mjini Wakamtupa jalali, jembe na wake mpini Wakaponda zote mali, na warembo limbukeni Wakachana daftari, kupoteza taarifa Walikula na kusaza, wakaota na vitambi Meza wakatandaza, kwa peza za rambi rambi Rambi rambi zake faza, aliewaeleza kwamba Kama mnataka mali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, nani amekwamisha malengo yako mwaka 2019 yasitimie?

    Mwaka ndio huo tunauaga (unatuaga?) leo. Nina uhakika kila mtu alijiwekea malengo yake katika maisha yake. Mimi pia nilikuwa na malengo ya kwangu. Kwa kila mtu pengine kuna hatua fulani ya malengo yako umeyafikia, ama pengine kuna sehemu (kubwa au ndogo) umekwama kufikia kile ulichokuwa...
  6. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa 2020, achana na malengo na kazana na kitu hiki kimoja

    Huu ni ule wakati wa mwaka ambapo kuna kelele nyingi sana kuhusu malengo. Watu wanaulizana mwaka umeisha na umefanya nini na wengine wanahamasishana kuanza kuweka malengo ya mwaka mpya mapema. Nasema hizi ni kelele kwa sababu karibu kila mtu huwa anajiwekea malengo mwanzoni mwa mwaka. Kila mtu...
  7. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa sio dhambi, angalia malengo yako na epuka malipo ya mwisho wa mwezi

    Kuna kitu kinachanganya sana watu wasio na ajira/waliomaliza vyuo wanaotamani siku moja kuwa wafanyabiashara wakubwa na wajiendeshe sio kuendeshwa, akili zao zinasikia mengi sana kitu kinachopelekea kubaki njiapanda sasa leo acha nifafanue kitu kimoja kwa faida ya nyie ambao hamuelewi tunaposema...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
Back
Top Bottom