malalamiko

  1. Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe. Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani. Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
  2. Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

    Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana. Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
  3. Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  4. Polisi kushirikisha Wadau wa Haki Jinai kuchunguza malalamiko ya Wananchi kuonewa na Askari

    Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi. SACP David Misime Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
  5. Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  6. N

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
  7. B

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  8. Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  9. Malalamiko ya kuendelea mgao wa Umeme! Kumbe shida sio January Makamba?

    Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta. Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua. Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona...
  10. K

    Mfumo wa E-Mrejesho hautoi majibu kwa malalamiko ya watu

    Pamoja na kwamba serikali imeamua kuanzisha mfumo unaowawezesha wananchi kupeleka malalamiko, maoni, taarifa ama mapendekezo kwa taasisi mbalimbali za serikali ili kuweza kuzitatua, ila mfumo huo kwa upande wangu sijaona kama unafanya kazi kama ilivyokusudiwa. Binafsi nilishawahi kuandika...
  11. M

    HESLB. Malalamiko kuhusu kubadilisha namba ya simu

    Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
  12. Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  13. R

    Taarifa zako binafsi zikitumiwa vibaya au kinyume na makubaliano peleka malalamiko kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wakuu, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao. Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
  14. Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

    Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu). Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe...
  15. TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  16. Baada ya malalamiko mengi Mkandarasi wa Reli ya SGR atangaza kufuta mpango wa kupunguza Wafanyakazi

    KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI TAREHE 23/10/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
  17. 2018 kamati ya malalamiko ya TCRA iliitaka Voda imlipe Aboubakar Tsh 1.5m kwa kumtumia SMS bila ridhaa yake

    Aboubakar Ally alienda kamati ya malalamiko ya TCRA kulalamikia suala la kupokea sms kutoka Umojabet bila ridhaa yake. Suala hilo alilalamika Voda lakini hawakuchukua hatua. Walipofika kamati ya malalamiko Vodacom walikubali kuwa mteja wao alikuwa anapokea sms hizo lakini wao hawahusiki na...
  18. Ujue mchakato wa kuwasilisha malalamiko katika Kamati ya Malalamiko ya TCRA

    Ikiwa umepata huduma mbovu ya kimawasiliano, iwe kwenye kisimbuzi au mtandao wa simu ambao wote wanaratibiwa na TCRA. Ziko hatua kadhaa za kufuata ili uweze Kamati ya Malalamiko ikusikilize. 1. Kwanza ni kuwaambia kampuni yako (i.e tigo, voda au azam) ili muelezane vizuri 2. Mkishindwana hapo...
  19. Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…