malalamiko

  1. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu. Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe" Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili" Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hivi dunia nzima kuna mhindi anayemiliki timu na anatoa pesa fresh tu bila malalamiko?

    Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara. Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha. #SijamtajaMtu.
  4. Joachim Mabula

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kwa Gaming Board of Tanzania Kushindwa Kisimamia Sheria!

    Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa sheria na kanuni zinazoongoza sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Kwa mujibu wa Kifungu cha...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Kilimanjaro: Tunafanyia kazi malalamiko 11 ya rushwa dhidi ya watia nia Ubunge CCM

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne Julai 15, 2025 na...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Responded Barabara ya Mazimbo–Manyuki (Moro) yarekebishwa kwa Greda baada ya malalamiko

    Nimepita kwenye barabara ya Mazimbo–Manyuki, ambayo niliilalamikiwa hapa JamiiForums, na nikaona ni vyema nilete mrejesho kuwa kwa sasa imekwanguliwa kwa kutumia greda ili kupunguza mashimo yaliyokuwa yakisababisha usumbufu mkubwa, hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto. Pia soma: Je, TARURA...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko ya muda mrefu, Barabara ya Kivule yaanza kurekebishwa

    Njia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja. Hii barabara kwa muda mrefu imekuwa ikitupa tabu sana wananchi hasa wakazi wa maeneno ya Banana hadi Kivule, ilikuwa haifai...
  8. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma duni RITA Call Center; Haitoi msaada wala majibu

    Kwa mujibu wa maelezo yao @ritatanzania kituo cha miito (CALL CENTER) inakuwa wazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi sa 10 jioni, changamoto ni kwamba ukipiga simu ndani ya muda huo hawapokei, sometimes inaweza kuita then wanakata. Maana ya kuweka baadhi ya huduma zao zifanyike kwa mtandao ni...
  10. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  11. music mimi

    JamiiForums Tanzania Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Tundu Lissu wawasilisha malalamiko umoja wa mataifa, kushinikiza hatua za kimataifa

    Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu Kiholela. Wakili wa Lissu, Robert Amsterdam amesema malalamiko hayo ni sehemu ya kampeni pana ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara wa Mkata - Handeni hatupingi kulipa kodi, tunapinga kunyanyaswa, kudhalilishwa na kukamuliwa kwa namna isiyo ya haki

    MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa malalamiko LATRA umeongezeka

    Jumla ya malalamiko 265 kati ya malalamiko 287 yaliyopokelewa na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA yametatuliwa kwa mwaka 2024/25 (mpaka kufiki mwezi march 2025) ikiwa ni saw ana asilimia 92 ya malalamiko yote. Kwa mwaka wa 2024/25 ndio umeongoza kwa kutatua malalamiko mengi zaidi...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mandela aliwahi sema, Lugha walio kuwa wanaielewa Makabulu ilikuwa ni moja tu, Na Tanzania Lugha ambayo hawa watawala wanaweza ielewa ni moja tu.

    Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa. Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
Back
Top Bottom