malalamiko

  1. C

    JamiiForums Tanzania FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa rais Samia: Serikali inawanyima ajira wenye Digrii na kuwapendelea Fom 4 na Stashahada

    Habari wadau! Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii. Naomba rais wa JMT swala ili...
  3. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nina malalamiko dhidi ya Human Resources Officer wa TRA

    Unajua TRA ni wazembe sana. HR wa TRA alikua na doc za mama yangu toka amestaafu 24/5/2021 na amekaa nazo tuu hajazipeleka PSSSF hadi jana tarehe 01/10/2021. Sasa hii ni haki kweli kwa mtu aliyestaafu akitegemea alipwe mafao. Human Resource officer anakaa na documents mezani kwake to mwezi wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji

    Kama ilivyo ada Leo nakuja na hizi tafakuri alafu ujitafakari...watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji sana. Hahaha kuna jamaaa nilikutana nae analalamika mpaka analaumu kwanini kazaliwa kwenye ukoo alioko...daaah laana hii..lakini Leo tutafakari je...
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yangu juu ya CRDB bank

    Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu, Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika, Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Tozo za miamala na kodi za majengo kupitia Luku yamepungua, safi sana

    Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu Hii imetokana na watanzania...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ferry - Kigamboni: Weka hapa Kero, Ushauri na malalamiko yako

    Zamani enzi zetu tukisoma pale ferru tulivuka kwa shilingi 20 tu kutumia mitumbwi. Serikali ikaleta MV Magogoni na baadae Mv Kazi na mv Kigamboni. Hivi vivuko Kigamboni kina injini 4 lakini mara nyingi wanawasha mbili tu na kufanya kutumie dakika 20 ndani ya maji. Kero: wameleta mfumo wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

    Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake. CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
  10. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya mashabiki wa Yanga

    Kama kawaida yao Hawachelewi kwenda CAS
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  12. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania MALALAMIKO: TTCL huu ujumbe wenu mmenitumia mara 527 ndani ya masaa 24

    Dear customer, your balance has been used up, please recharge or order package, Dial *148*30# for more services. Sms hii mmenitumia mara 527 kwaajili ya nini?
  13. Katung'a

    JamiiForums Tanzania eMALALAMIKO: Mfumo huu wa kuwasilisha malalamiko serikalini utatekeleza majukumu kusudiwa?

    Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki. Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi? Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi aanzisha mfumo wa kielekroniki unaoitwa "Sema na Waziri" kupoke malalamiko ya watumishi na wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora. Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya mbunge wa Mbogwe yasipuuzwe. Anadai wanalipwa mil 3.8. Hataki kufanya ujanja ujanja kama wabunge wengine. Ni ujanja gani?

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge. Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu. Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
  16. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Tunaomba serikali na hasa Wizara ya Elimu na ike ya Tamisemi waliangalie sana hili na kulitolea muongozo mapema. Malalamiko yenyewe ni kwamba kumekuwa na utaratibu kwa shule za binafsi hasa zile za English Medium kuzuia wanafunzi wa madarasa ya mitihani kwenda likizo hasa ya mwezi wa sita...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
  18. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

  19. C

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mwisho wa malalamiko ya watanzania. Kila mtanzania kuwa na fursa ya kutoa taarifa kuhusu wapi ahudumiwi vizuri.

    Nimeona Twitter & Instagram. Kama ni kweli mbona walalahoi ama wale wanyonge kama Hayati Magufuli alivyokuwa anawaita wamepata utetezi mubashara. Kuna watu wanamtakia huyu Mama yetu Rais Samia mafanikio mema sana kwenye utawala wake. Wanyonge sasa nao kudemka hahahahahaha! Nenda insta na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kampeni Kigoma ni shwari kabisa hakuna malalamiko labda kwa vile Chadema hawashiriki!

    Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana. Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu.. Eid Mubarak!
Back
Top Bottom