makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais kesho kufungua wiki ya Sokoine

    Kama inavyojieleza Kwenye Picha hapo chini
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mali: Makamu wa Rais wa mpito asema anashikilia madaraka. Adai Rais na Waziri Mkuu hawakumshirikisha katika kuunda Serikali mpya

    Makamu wa Rais wa Mpito Nchini Mali, Kanali Assimi Goita amesema amechukua madaraka baada ya Rais wa Mpito na Waziri Mkuu kushindwa kumshirikisha katika uundaji wa Serikali. Goita ambaye aliongoza Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Agosti 2020 amesema alielekeza kushikiliwa Viongozi hao baada ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  5. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, uwezo ( umahiri ) wa Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa ni sawa au hutofautiana kulingana na Vyeo husika?

    Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda. Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
  8. sammosses

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania hawaeleweki dhamira yao ya utumishi imesimamia maslahi ya Taifa au imesimamia maslahi ya mabosi wao

    Tanzania yetu ya watanzania ina Watanzania wenzetu ambao ni viongozi wa ajabu Sana katika utendaji wao wa shughuli za kila siku. Huwezi kuwajua misimamo yao imesimamia wapi Wala ukitazama vision yao kwa Taifa ni kinyume na matarajio na matakwa yao katika utumishi wao. Leo unaweza kuwa na...
Back
Top Bottom