Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki.
Kazi ya jini la kizungu ni nini?
Kazi ya jini la kizungu ni kuua.
Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua)
Litakuwa linasubiri ulipe damu.
Usipo Lipa damu litaitaka damu yako...
Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k
Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO
Ufugaji Samaki Aina ya Sato
Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
Tofauti na idadi hiyo ya waliofariki, watu wengine zaidi ya 100 wameokolewa katika tkio hilo baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika Pwani ya Kusini mwa Ugiriki.
Watu walionusurika wamedai kuwa abiria wengi katika meli hiyo walikuwa wahamiaji na hakukuwa na mtu aliyevaa jaketi za kuokoa...
Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina.
Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie.
Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea Kuhangaika kupata Waume wa Kuwaoa kwa Kuzunguka kama Inzi wa Chooni katika Makanisa yote ya Kilokole...
Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua.
Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.
Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.
Ambapo sheikh amesema...
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu.
Kuna siku nimemwambia wife jiandae nataka tutoke kidogo, masaa zaidi ya mawili anajipodoa tu mimekaa namsubiri siakatoka chumbani sasa...
heshima kwenu Wana JF wote
Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea.
Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
Twende kazi,
Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa home kwa wenyeji wa Songea Kuna sehemu moja inaitwa mfaranyaki.
Ilikuwa inatulazimu kupita baadhi ya...
Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.
Naombeni msaada ni waharaka
Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu
1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini.
Majini ni nini?
In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu kwa ujumla...
Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine.
1. Waganga
2. Manabii wa uongo.
3. Saluni/Urembo na mavazi.
Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
Katika maisha yangu sijawahi kuona mtu amepona na kutolewa majini akiwa fresha and comfortable na kupona kabisa na majini yasirudi tena.
Nimeona tu Kuna Namna nyingi za kutoa majini na Mashetwani.. mosi ni kwa maombi ya wachungaji au manabii wa makanisa nimeona kwenye TV wakiwashika watu na...
Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo.
Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
Mwamba amejitahidi kufikiria.
Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem".
Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine.
Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako
1...
Habari za jioni wanajamii wote natumai mu wazima wa afya tele! Nakwawale ambao sio wazima wa afya MUNGU awajaalie mrejee katika afya zenu haraka!
Nina mpenzi wangu tuko naye kwenye mahusiano huu mwaka wa 2, ila shida kila tukiwa tunazagamuana majini yanampanda kichwani na mara aanze kunikaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.