majini

  1. F

    JamiiForums Tanzania Shehe Shariff Majini kulalamika kaibiwa kura Tanga, je majini yake hayamlindi?

    Habari wadau. Mtia nia maarufu kama shehe sharif majini analalamika uchaguzi wa kura za maoni jimboni kwake haukuwa wa haki.. na ameshindwa kwa mbinu chafu. Swali nalojiuliza. je majini hayana msaada ya kumlinda mtu wao asiibiwe kura? Je, kina sisi tunaopeleka shida zetu kutatuliwa kwa nguvu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim. What I've seen, and has been done to me by malicious people would anger any sane person. The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheikh Sharif Majini achukua fomu za Ubunge Handeni vijijini kupitia CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na baadae kuelekea ofisi ndogo ya CCM Mkata kuchukua fomu ya kugombea Ubunge. Bungeni patanoga huku...
  4. babu M

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

    Video ikionyesha waandamaji wakiangusha sanamu ambayo imedumu toka karne ya 18. Sanamu ya Edward Colston katika sehemu ambayo inajulika The centre, Bristol. Wakiwa wanaitupa Bristol harbour. Sanamu ya aliyekuwa mfanyabisha maarufu ya utumwa katika karne ya 17 imeangushwa na kutupwa...
  5. Requal

    JamiiForums Tanzania MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

    JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na mpangilio wa visa. Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji...
  6. 100 others

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

    "Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran. Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Samaki aliruka kutoka majini kumchoma kijana shingoni

    Muhammad Idul ameelezea vile samaki aina ya Ngarara alivyoruka kutoka majini na kumdunga kwenye shingo yake, na kulazimika kuogelea kwa hara kuelekea ufuoni kabla ya kukimbizwa hospitalini dakika 90 kwa gari. Kijana huyo wa miaka 16 kuwa hai, na kuweza kusimulia yaliyompata imekuwa kama miujiza...
  8. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Maruhani, Mapepo, Mashetani na Majini?

    Salaam wakuu poleni na harakati, Ni mda kiasi sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi za hapa na pale ila namshukuru Mungu nimerudi salama huko nilikokuwa, kwanza niwape poleni kwa misukosuko ya hapa na pale pamoja na Paschal Mayalla member mwenzetu sijui anaendeleaje mpaka sasa maana mara ya...
  9. AKILI KIJIKO

    JamiiForums Tanzania Majini mahaba yananinyima raha, nifanyeje?

    Habari zenu jamani, Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Njia Rahsi za Kumwita Jini Mpole na Kumuamrisha unayoyataka na atakufanyia.

    LEO nawafundisha njia fupi ya kumwita JINI mpole Kisha mwambie haja zako. nunua aina ya taa Za chemli mbili weka utambi wa Sanda iwe kama tambi kila chemli weka mafuta ya taa kipimo cha vikombe vya kahawa kila chemli weka vikombe saba saba Kisha ktk kila tundu LA chemli weke mchanga wa...
  11. Rakims

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kuu mbili; Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa. Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo...
  12. Teamo

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU: Salaam wakuu wangu! It's been long time since i posted a thread herein lakini haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada! STRAIGHT TO THE TOPIC: Nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa: 1) Asilimia kubwa sana...
Back
Top Bottom