Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi.

Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia mahali ilipo biashara yako au kaburini etc whichever come first.

Biashara yako itaanza kufurika wateja ndani ya wiki hiyo hiyo atakayo kukabidhi dawa zake..

Mafuriko ya wateja yataendelea kwa muda wa miaka mitatu mfululizo bila kujali ni aina gani ya biashara unafanya..

Cha kushangaza sasa katika hela utakayo kuwa una iingiza ndani ya hiyo miaka mitatu hutofanya chochote cha maana. Hutoweka akiba benki wala kununua asset yoyote ya maana ukijitahidi sana utanunua kiwanja cha laki nane mbande kisewe. Hela yako itakuwa ni kwenye pombe kuhonga pombe kuhonga.. circle yako itakuwa kwenda kuchukua stock kuweka dukani kuuza then unachukua faida unaenda kwenye pombe anasa na kuhonga malaya kizembe zembe. Mara uta mnunulia malaya wa bongo movie fenicha za milioni kumi na nane mara utaenda Dubai Kula bata tu lakini hufanyi lolote lile la maana.

Kingine cha ajabu ndani ya hiyo miaka mitatu hutohangaika kumtafuta huyo mganga kwa jambo lolote lile. Utakuwa kama mtu alie pigwa ganzi na hata hayo mafuriko ya mauzo utakuwa unafikiri ni akili yako na ujanja wako mwenyewe.

BAADA YA MIAKA MITATU
Sales zitaanza kushuka taratibu. Ulikuwa unafunga lets say milioni kumi na 2 kwa siku inaanza ku drop taratibu. Leo milioni 8 kesho 5 keshokutwa 3 siku inayo fuata laki 6 kesho yake laki 2 keshokutwa yake elfu themanini then elfu ishirini then unakaa wiki nzima unauza elfu 20. Biashara inaanza kuyumba taratibu wateja wanaanza kukukimbia. Kama biashara yako ni ya bar wanaanza kuhamia bar nyingine, wafanyakazi wanaanza kuondoka, mara ndani ya mwezi mmoja umeuza sh elfu 50

Ukitazama benki unacho miliki ni jina lako tu kiujumla mambo yanakuwa magumu kwako.. utahangaika miezi na miezi utadhalilika na kufedheheka utaenda kupiga makofi kwenye makanisa ya mitume na manabii ( anasumbukia maisha yangu anasumbukia maisha yangu) utawamaliza ma ostaz na waganga wote lakini wapi mambo yanakuwa pale pale.

Baadae sasa ndio utapata wazo la kurudi kwa yule mtaalamu alie kupa dawa miaka mitatu iliyo pita. Ukifika utamsimulia kila kitu Ukimaliza atakuchana live kama unataka biashara yako irudi kuwa kama zamani inabidi utoe kafara. Utaambiwa eidha umtoe mama ako mzazi au watoto wako whichever come first. Na utapewa siku 3 za kufanya maamuzi.

Ndani ya hizo siku 3 usipofanya maamuzi ndo inakuwa imekula kwako hiyo mzee. Hutoshika tena hela utakufa fukara. Wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu au kujiua au kufa kwa presha.

Lau ukikubali kufuata masharti ya kutoa hilo kafara basi biashara yako inarudi kama kawaida. Na unakuwa tayari umeingizwa rasmi kwenye mfumo wa madhabahu ya huyi mganga.

Hii maana yake ni nini? Katika ulimwengu wa roho hasa upande wa uganga na uchawi hakunaga kitu cha bure. Ukiona mganga anakupa kitu cha bure basi jua ni deni hilo umekopeshwa utatakiwa kulilipa baadae kwa damu ya mtu wako muhimu au yako mwenyewe.

TURUDI KWA MAYELE SASA
Nimeyasoma madai ya Mayele nikafananisha snacho kipitia Mayele na wanacho kutana nacho wateja wa huyu mganga.

Timu zote za mpira wa miguu duniani zinakuwaga na madhabahu zao. Hizo madhabahu huwaga zinasimamiwa na wazee wa timu ambao kwa jina la heshima tunawaita wazee wa kamati za ufundi.

Moja kati ya majukumu ya wazee wa kamati ya ufundi ni pamoja na ;

1..kuwakinga na kuwalinda wachezaji wa timu dhidi ya shari za kijini na kichawi kutoka kwa watu wa nyumbani kwao ( watu wa kwanza kukuroga wewe mchezaji usifanikiwe ni wana familia yako na ndugu zako wa Ukoo. Wao ndio watu wa kwanza kutaka kuona una haribikiwa. Usifikiri ndugu zako wana furahia kila siku kusikia jina lako " ana kwenda ana kwenda anaandika goli la pili hapa" never hawapendi hata kidogo.

2. Kuwalinda na kuwakinga wachezaji dhidi ya shari za kichawi kutoka timu pinzani nakadhalika. Pia kuwalinda wachezaji dhidi ya wachezaji wenzao wanao cheza timu moja ambao wanaweza kuwaroga wenzao kwa sababu ya husda au vita ya namba.

3. Kun'garisha nyota za wachezaji kuhakikisha wachezaji wanapendwa na walimu viongozi na mashabiki etc.

Yote haya wazee hawa wanayafanya wenyewe bila wewe mchezaji kujua kama wanafanya kwa ajili yako..

Mchezaji anapo ondoka ndani ya klabu hawa wazee wanakuwa tena hawana interest yoyote na mchezaji huyo kwenye upande wa mambo ya rohoni.

Kwa hiyo watakacho kifanya kama walikuwa wanakuwekea ulinzi wa kiroho basi wana withdraw ulinzi wao. Kama walikuwa wamekuwekea mvuto wa kukubalika basi wana withdraw mvuto wao. Wewe unabaki kama ulivyo kuwa umeenda kujiunga na klabu hiyo. Jukumu la kujilinda na kujiwekea mvuto linabaki kwako wewe mwenyewe na timu utakayo enda.

Ndicho ninacho kiona kwa MAYELE.
Alipokuja Yanga hakuwa na mvuto alio toka nao.

Kama mnakumbuka comments za watu baada ya mechi ya kwanza ile ya Wananchi day ilikuwa ni " Maleye tumepigwa" .

Mayele alianza kung'aa siku alipo funga goli kwenye mechi ya Simba. Ndio mashabiki wakaanza kumzingatia.

Mayele ndani ya Yanga hakuwahi kuwa mshambuliaji hatari ila alikuwa ni mshambuliaji mwenye mvuto.

Takwimu hazisemi uongo..Mayele.alikuwa striker asie na njaa ambae anaridhika anapofunga goli moja ndio maana hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi.

Mayele hakuwa mshambuliaji tishio ila style yake ya ushangiliaji ilikuwa ndio maarufu.

Kwa hiyo kwa habari ya Mayele ilikuwa ni zaidi ya yeye kuwa maarufu na kupendwa kuliko kuwa mshambuliaji hatari..

Hiyo yote ni kazi ya wazee kumngarisha nyota yake na kumuwekea ulinzi wa kiroho dhidi ya maadui zake wa kiroho. Hiyo yote ni kazi ya wazee wa klabu. Lakini Mayele hakulijua hilo yeye alidhani watu wamempenda tu yeye kama yeye. For what?

MAYELE NDANI YA PYRAMID
Mayele kaondoka kwenda Pyramid wazee wamechukua vitu vyao..Amebaki mtupu kiroho ndio maana huko Pyramid ameshindwa kun'gaa. Ile nyota yake ya kupendwa aliyo pewa na wazee wa Yanga haipo tena.

Akienda kwenye ramli watu wake wana mwambia amerogwa na wazee wa Yanga, hawapo mbali sana na ukweli,.wazee wamechukua " majini yao" waliyo kuwa wamempa ili ayatumie kwa maslahi ya klabu.

Mwisho wa siku jamaa amekuwa frustrated over his own incapacity to score ndio maana anatoa maneno ya hovyo kwa Yanga.

Kingine, Mayele anatakiwa kujua kwamba katika ulimwengu wa roho, Yanga ni kubwa kushinda Pyramid jambo linalo maanisha kwamba madhabahu ya Yanga ina nguvu kushinda madhabahu ya Pyramid, na hii ni kwa sababu katika ulimwengu wa roho, ukubwa wa klabu huwa unatazamwa kwa idadi ya mashabiki.

Yanga yenye mashabiki zaidi ya milioni 30( roho milioni milioni 30 zipo connected na Yanga) ni kubwa kiroho kuliko Pyramid ambayo sidhani hata kama ina mashabiki elfu moja.

Yanga ambayo tangu kuanzishwa kwake miaka 80+ iliyo pita kuna maelfu ya watu ambao wamewahi kuua kwa sababu ya Yanga au kufa kwa sababu ya Yanga ( mfano kufa kwa presha baada ya Yanga kushinda) huwezi fananisha na pyramid iliyo anzishwa mwaka 2008 hapa yenye mashabiki wasio fika elfu moja.

Hii maana yake ni nini kwenye kungaa kwa nyota ya Mayele uwanjani ?

Yanga inapocheza kuna mamilioni ya wapenzi na mashabiki wa Yanga wana muomba Mungu makanisani na misiktini ili wewe Mayele ufunge huku maelfu wengine wakifanya makafara yao wao kama.wao bila hata kuishirikisha Yanga ili kukuombea kwa miungu na mizimu yao wewe Mayele ufunge siku hiyo achilia mbali mamilioni wanao wish ndani ya mioyo yao wewe ufunge goli siku hiyo.

Usishahu pia wakati mechi inatazamwa kuna roho za mamilioni ya mashabiki wa Yanga zina tazama mechi huku ziki wish wewe Mayele ufunge kwenye mechi hiyo ili timu yao ishinde.

Hiyo positive energy yote inapoelekezwa kwako plus " baraka" za wazee wa Yanga lazima ung'ae uwanjani..

Wewe Mayele ulidhani hiyo nyota imekuja kwako bure hapana. Kuna watu waliingia gharama.

Umekwenda huko Pyramid, ule utukufu ulio kuwa una upata Tanzania haupo tena huko mzee, umebaki Tanzania kapewa mtu mwingine. Utukufu huo huuoni tena una dhani umelogwa.. Hapana hujarogwa mzee ni kwamba utukufu ulio pewa hapa Tanzania haukuwa wa kwako ila ulipewa tu uutumie kwa muda na muda wake sasa umeisha..

Ukitaka kupata utukufu kama ule ulio kuwa nao Yanga inabidi uende kwenye madhabahu zinazo weza kutoa utukufu kama huo, ulipie gharama . Kwenye ulimwengu wa roho hakunaga kitu cha bure.
 
Mie 'nadhani' nimekuelewa
 
Halafu Mayele alivyo kiazi amefanya kosa kubwa sana katika ulimwengu wa roho kwa kuwataja Yanga hadharani kwamba ndio wana mtumia majini kwa sababu hapo sasa ndio amewapa adui zake wengine nafasi ya kumtupia majini ya ukweli ili ionekane Yanga ndio wamemroga.
 
siku zote mwanzo wa mwisho wa matendo ni maneno 🐒

kazi yake imefika ukingoni na hakuna namna kuirejesha kama zamani..

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom