majini

  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

    Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hakuna majini wazuri, yote ni mapepo machafu

    Kuamini kwenye MAJINI ni dalili za uchawi
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

    Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV. Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni nani Mola Mlezi wa Majini?

    Majini yana Mola na Mlezi wao ambaye hawataki ashirikishwe na yeyote yule. Maana yeye ndo mola wao. Ni nani? Tega Sikio. Tunayauliza muda si mrefu yatajibu.
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Majini walisema Uislamu ndiyo Dini ya kumwabudu Mola wao na Mlezi wao

    Ndiyo, katika Qur’an kuna ushahidi kuwa majini walivutiwa sana na Uislamu, wakasikiliza Qur’an na hata wakaamini. Hili linatajwa kwa uwazi katika Surah Al-Jinn (Surah ya 72), ambako majini wenyewe wanasimulia jinsi walivyosikia Qur'an na kuvutiwa nayo. Mistari kuhusu majini waliosikia na...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Swali la Kiimani & Sayansi:- Kwanini watu hawapati stroke (kupigwa na majini) kwenye vyoo vya umma?

    Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao. Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma. Kwanini Hali hii utokea hivi?
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muhamad aliporogwa na kukumbwa na mapepo. Alijitahidi pia kuyafanya majini yawe Maislamu dhabiti

    Hadith Inayohusiana na "Uchawi"Hadith inayojulikana zaidi kuhusu suala hili iko katika Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim, ambazo ni vyanzo vya kuaminika zaidi vya Hadith katika Uislamu wa Kisunni. Hadith hii inasimulia tukio ambapo Nabii Muhammad alidaiwa kurogwa (kufanyiwa uchawi) na mtu wa...
  9. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujue msikiti uliojengwa na majini

    Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini" Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

    Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
  12. Bill

    JamiiForums Tanzania INAARIFIWA: Yanga kwenda Uwanjani 08/03/2025 mechi ilipoahirishwa ni kufuata majini yao na kuondoa uchawi wao.

    Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
  13. hamis77

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai anafuturisha Majini

    Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mtume Paulo Vs Muhamad : Na ukumbuke tulipokuletea Kundi la Majini:

    Sikiliza upate kuelewa na tafakari kwa umakini sana kabla ya kuchukua hatua.
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

    Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari. Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

    Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu! Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mkasa katika nyumba ya majini

    NYUMBA YA MAJINI “KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale wanaoyapata hayo mambo wanajua na wewe usiombe yakukute hata siku moja,” ndivyo alivyoanza kusimulia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna majini?

    Habari zenu WanaJamiiForums? Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience. Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Je, pepo ya wanadamu wema ndiyo hiyo watakayoishi pia majini wema?

    Wadau hamjamboni nyote? Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa wanadamu?
  20. mganda og

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Wakuu kwema? Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu. Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi. Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao...
Back
Top Bottom